Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Hii mbinu yako nliwahi itumia na mimi nilipata mademu wengi sana. Wakawa wananifuata wakijua najali na nina uwezo. Niliwala sana walikuja shtuka wamechelewa.

Chizi Maarifa
Tatizo hao mademu wengi wanakuja na njaa zao. Wewe unapowa feed mkwanja ndio inakuwa relief yao wanainjoy. Ila siku zikikata hutaamini.
 
Wazi kabisa, tutumie akili vizuri! 🤣
 
Mwanamke wa aina hio ni kipengele
 
Sijilipii nauli Asilani!kama anajisikia uchungu kutuma nauli aje yeye...... Yaani nisafiri kilometers away,Nichoke njiani,na nauli yangu wee nani kasema Huo upuuzi?😁😁😁😁
Ndio mapenzi sasa hayo au wewe huna mapenzi ya dhati?
 
Hajitambui.....
Dada kwa style hiyo unaweza usipate mwanaume sahihi sio kwamba mwanaume hawezi kutoa hela ya nauli la hasha anachohofia anaweza kukupa usije au akakuona haupo serious ila kwa mwanaume ambaye anaongozwa na hamu ya kufanya ngono ni rahisi kukupa cos ya kutaka utelezi
 
Asilimia 80 ya wanawake wa sasa ni wadangaji wanatumia fimbo ya hela kuwachapa wanaume,ikiwa ni wanafki hawana true love nikionaga mwanamke anateseka kweny relationship kisa anampenda jamaa Fulani moyoni mwangu huwa na furaha sina time ya kumuonea huruma malipo ni hapahapa duniani
 
Umeongea point kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…