Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha


πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fact kbsa maskin wanaongoza sana kujitolea ktk mapenzi tena wanajua kutunza wanajua kujali
Unakuta mwanaume hana vocha ila kidemu sungura poli kikiomba vocha jamaa anatuma wakat yeye hana vocha
Unakuta kanaume kamemtoa demu out kananunua kuku ya demu kenyewe kanabaki kanameza mate demu anavunja mifupa kenyewe kanacheka
Ila yote ya yote kla mtu ashinde vita vyake, dunian kla mtu amekuja na purpose yke
 
Umetisha mkuu [emoji120][emoji120]
 

Kwa kuongezea zaidi, Maskini wengi ndio husomesha wachumba zao.
Wenye Pesa huo muda hawana
 
Uzuri kila mtu Ana hoja zake
 
Hahahahah ataelewa tu, mwanamke hana excuse za kijinga akiwa anakuzimia fulu🀣 hata Depal anajua jinsi ambavyo alikuwa anatumia pocket money kumpelekea muhuni mbususu na zawadi za boxer.
🀣🀣🀣 nampelekea za elf 50
Kesho kutwa namuomba elf 70
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hapa nilipigwa sana mwisho wasiku wanakuja wenyew na nauli situmi
 
Hahahahah wadangaji ndio wako shazi 🀣 mi nachekaga zaidi nikiona mwanaume anajitapa kuhonga demu ambaye hana mkataba naye wa kudumu. Wanaishiaga pabaya sana na majuto ni mjukuu 🀣🀣🀣
 
Mwamba uko makini sana,hata mm nimejiuliza mbona mtibeli ameeelezea vizuri nahoja zake ziko wazi juu ya upendo baina ya mwanaume na mwanamke...mtibeli anapinga unyanyasaji wa wanawake kwa wanaume kwa kigezo au kisingizio cha mbususu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…