Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Thubuutuuuuu uanze kunisearch!!!

akhu cazen sitaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na ulivyo hushindwi utanipata faster
Hahahahahah kkoo kubwa bana. Sio mbaya nikikuona siku moja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo chacha, naogopa bana wanavyokusifia hivyo wadada itakuwa una balaa sana wewe!!!
Hahahah usiogope bana mi sio simba sitakumeza wala 🀣🀣🀣
 
Mwamba uko makini sana,hata mm nimejiuliza mbona mtibeli ameeelezea vizuri nahoja zake ziko wazi juu ya upendo baina ya mwanaume na mwanamke...mtibeli anapinga unyanyasaji wa wanawake kwa wanaume kwa kigezo au kisingizio cha mbususu.

Nashukuru Sana ikiwa wapo wanaonielewa zaidi ya nilivyoeleza
 

Umeongea kwa hisia sana mkuu, halafu umeongea ukweli mtupu!
 

We babu bado maelezo yako marefu hayajakutoa kwenye umbwe la point zako zinazochochea umasikini! Kumpa mwanamke USD 150 akanunue nywele bandia au kubandika kupe na kucha Mara kwa mara hakukupi Wewe fursa ya kupiga hatua za maendeleo eti kwa sababu utaongeza utafutaji.

Insanity is doing the same thing over and over expecting different results! Wanawake wa Karne hii unavyoonyesha uwezo wa kumpa pesa kwa ajili ya kununua luxurious products and services nayeye Ndio anatanua wigo wa matumizi, think!
 
Sijilipii nauli Asilani!kama anajisikia uchungu kutuma nauli aje yeye...... Yaani nisafiri kilometers away,Nichoke njiani,na nauli yangu wee nani kasema Huo upuuzi?😁😁😁😁
Tatizo linalokusumbua si tatizo halisi, ni tatizo la kisaikolojia tu!! Unaamini kuwa ukitumia nauli yako ni kama umejirahisisha sana, unaona utaonekana kuwa uko desperate, hiyo ni imani potofu!! Kinyume chake, ukitumia nauli yako (kama unayo, kama huna kweli hilo ni suala jingine), kwanza atakuheshimu, pili ataona unajali na kwa kufanya hivyo utavuna zaidi kuliko kama utadai nauli kwanza!! Ukidai dai nauli pengine ni pesa kidogo tu ya taxi kama msimbazi mmoja mwisho wa siku utawekwa kwenye kundi ambalo si zuri sana!!
 
Unataka kupingana na nature Sasa!ndio ninachokiona Sasa......kama unataka mwanamke ndiwe awe na mchecheto wa kukufuata wewe bila wewe kuonyesha unamtaji utasubiri sana.....
Hapo ndipo unapokosea!! si suala la mchecheto!! tatizo lako ni kudhani kuwa ukienda wewe kwa nauli yako kwa mfano utaonekana kuwa una mchecheto!! Suala la mchecheto liko sehemu zote mbili, watu wazima wanajua hivyo! kujifanya kuwa huwezi kuwa na mchecheto ni uongo ambao wanaoweza kuuamini ni watoto tu!! Hivi wanawake kutembea na suruali zimetobolewa mapajani huo sio mchecheto? kwani wanamtobolea mwanamke mwenzao? Msijifanye hamhitaji wakati mnahitaji sana tu, na wala hilo halina ubaya wowote, na hiyo ndiyo nature kwa maana halisi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…