Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Thubuutuuuuu uanze kunisearch!!!

akhu cazen sitaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na ulivyo hushindwi utanipata faster
Hahahahahah kkoo kubwa bana. Sio mbaya nikikuona siku moja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo chacha, naogopa bana wanavyokusifia hivyo wadada itakuwa una balaa sana wewe!!!
Hahahah usiogope bana mi sio simba sitakumeza wala 🤣🤣🤣
 
Mwamba uko makini sana,hata mm nimejiuliza mbona mtibeli ameeelezea vizuri nahoja zake ziko wazi juu ya upendo baina ya mwanaume na mwanamke...mtibeli anapinga unyanyasaji wa wanawake kwa wanaume kwa kigezo au kisingizio cha mbususu.

Nashukuru Sana ikiwa wapo wanaonielewa zaidi ya nilivyoeleza
 
Watakaokuelewa ni sisi wachache wenye akili za kifogo mkuu.

You see,Sugu,TAITA pamoja na utajiri wake ila kila mara anajisifia kuwa mke wake ana pesa.Na kuna siku Sugu alijigamba kuwa kamwe hawezi kurudi kwenye umasikini sbb hata ikitokea akayumba wife wake Happy ataokoa jahazi sbb mke pia anaingiza pesa zake.

Mwanaume unatakiwa uwe na wife leo ukimpeleka Dubai mwakani anaku suprise kwa kuipeleka familia Ibiza.

Unatakiwa uwe na wife hata ukifa au kuugua mwaka familia haiteseki sbb mama ana uwezo wa kulisongesha.

Mwanamke asiyemudu hata vocha au mlo wake ni LAANA.

Huyu hata ushauri wa maana hawezi kukupa.
Huyu ni wale ukikaa nae maongezi pekee anayomudu ni ya ngono ngono na kubebishana ,ukibadili topic ni pumba tu anaproduce.

Umeongea kwa hisia sana mkuu, halafu umeongea ukweli mtupu!
 
Mkuu niwie radhi kwa maoni yangu, ila kwa maisha ya sasa kama utakuwa hutoi hela/huudumii itakugharimu sana.

Vijana wangu wenyewe nimewaelekeza wajikite kutafuta hela usiku na mchana kwaajili ya stability ya familia zao kwani maisha ya enzi zetu na ninyi yamekuwa tofauti kabisa.

Miaka yetu Wake zetu walikuwa wakienda kusuka wanasuka Mtindo wa "Twende Kilioni" bure kabisa, lakini Siku hizi Wanawake wanavaa mawigi ya dollar 150 imagine

Kwahiyo ukiombwa mara mbili hizo gharama za saluni na wigi itakufanya Mwanaume kichwa kiume na upambane kupata hizo hela

We babu bado maelezo yako marefu hayajakutoa kwenye umbwe la point zako zinazochochea umasikini! Kumpa mwanamke USD 150 akanunue nywele bandia au kubandika kupe na kucha Mara kwa mara hakukupi Wewe fursa ya kupiga hatua za maendeleo eti kwa sababu utaongeza utafutaji.

Insanity is doing the same thing over and over expecting different results! Wanawake wa Karne hii unavyoonyesha uwezo wa kumpa pesa kwa ajili ya kununua luxurious products and services nayeye Ndio anatanua wigo wa matumizi, think!
 
Sijilipii nauli Asilani!kama anajisikia uchungu kutuma nauli aje yeye...... Yaani nisafiri kilometers away,Nichoke njiani,na nauli yangu wee nani kasema Huo upuuzi?😁😁😁😁
Tatizo linalokusumbua si tatizo halisi, ni tatizo la kisaikolojia tu!! Unaamini kuwa ukitumia nauli yako ni kama umejirahisisha sana, unaona utaonekana kuwa uko desperate, hiyo ni imani potofu!! Kinyume chake, ukitumia nauli yako (kama unayo, kama huna kweli hilo ni suala jingine), kwanza atakuheshimu, pili ataona unajali na kwa kufanya hivyo utavuna zaidi kuliko kama utadai nauli kwanza!! Ukidai dai nauli pengine ni pesa kidogo tu ya taxi kama msimbazi mmoja mwisho wa siku utawekwa kwenye kundi ambalo si zuri sana!!
 
Unataka kupingana na nature Sasa!ndio ninachokiona Sasa......kama unataka mwanamke ndiwe awe na mchecheto wa kukufuata wewe bila wewe kuonyesha unamtaji utasubiri sana.....
Hapo ndipo unapokosea!! si suala la mchecheto!! tatizo lako ni kudhani kuwa ukienda wewe kwa nauli yako kwa mfano utaonekana kuwa una mchecheto!! Suala la mchecheto liko sehemu zote mbili, watu wazima wanajua hivyo! kujifanya kuwa huwezi kuwa na mchecheto ni uongo ambao wanaoweza kuuamini ni watoto tu!! Hivi wanawake kutembea na suruali zimetobolewa mapajani huo sio mchecheto? kwani wanamtobolea mwanamke mwenzao? Msijifanye hamhitaji wakati mnahitaji sana tu, na wala hilo halina ubaya wowote, na hiyo ndiyo nature kwa maana halisi!!
 
Back
Top Bottom