mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
usibadilishe mada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mteja wa kiume kaingia dukani hapa kasuka yebo yebo za rasta, nimechekaaaaaa ananiuliza unacheka nini kanitolea macho ikabidi nimjibu kuna mtu kwenye simu ananichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo wao hawatupendi wanatutumia.
Tatizo wao hawatupendi wanatutumia.
Umepiga kwenye mshono masta yani mi dem wa namna hiyo hata wiki haipiti yani una kaa na dem ana waza kukupiga mzinga tu .... mbezi Beach na mwenge ni karibu lakini anakuomba pesa ya nauli pumbavu kabisa ...... kwanza wana niksi
Imategemea unadate na mtu wa aina gani.
Mabinti wengi na actually vijana wengi ni jobless, hawana vipato. Ukimpata binti wa hivi huna budi kumsaidia, tena msaidie sana kila unapoweza kwa sababu ukweli ni kuwa wengi sana wana elimu zao lakini bahati mbaya sana wapo tu home hawana shughuli za kufanya.
Kama unadate mfanyakazi au mjasiriamali, kweli nauli ya uber, boda au daladala ni jukumu lake. Kama hata nauli anaona ubahili kujilipia, basi tena.
Ukiwa na mke ni hadithi nyingine kabisa...
usibadilishe mada
acha mizinga, umepewa bure, toa bure[emoji23]
Kabisa.Ukiwa na mke ni hadithi nyingine kabisa...
umetukosea sana😂muwe mnafuck cousins wenu
Vocha mtaombwa tu, mtulie.
Najiwekea vocha, ila marufuku kuzidi laki 1 monthly. Ikielekekea kuzidi kuna mtoto wa mtu tu ataniwekea kwa kuombwa. 😏😏
Tar 1- leo 8, nishamaliza elf 42,500...
Haa
Nasema Uongo Ndugu Zangu
umetukosea sana[emoji23]
wengine unamtongoza anakwambia ana mtu wake, ila matatizo yake umsaidie wanawake kuwaelewa ni ngumu sana!
komaaaa kuwaita watu wetu mandondocha.Sema wapo mandondocha wenu wa kuwaomba.
Unakuta kakijana Ka Watu kanatuma vocha lakini hakatafutwi😂😂 alafu kalivyo kajinga kanajiona kapo timamu.
Alafu kuna Sisi ambao vocha hatuweki na bado tunatafutwa kutwa kucha. Na bado Binti asipokutafuta anajitetea utadhani ulimuuliza.
Lakini wapo Vijana vocha wanawatumia ninyi viroboto, na bado mnawapelekesha kama Magari mabovu.
Hiyo Kwa Sisi Watibeli haiwezi Kati kutokea hata Dunia ipinduke
We Jamaa una Akili Sana nadhani dhumuni la mtu kitafta hela ni kwa ajili ya kula vizuri kuvaa vizuri na kulala vizuri hao waomba Nauli wanabidi wawasubilie vijana wa mikoani ambao hawajitambui