Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Sasa huyo ndio Mwanamke.
Mwanamke akikupenda Hii Dunia yote ni yako
 
😅😅 'em sounds like vibuyu
 
Inawezekana kabisa, don't judge a book you haven't read.

Ukikutana na mwanamke, mjifunze kwanza then angalia Kama mnaweza kulianzisha, ukiona haiwezekani tafuta namna umuache salama, otherwise utamtesa tu.

Vijana wengi ni jobless mkuu!!

Sijam-jaji MTU.
Vijana wengi ni jobless lakini ujobles sio tatizo katik mahusiano. Tatizo ni ubinafsi.

Sisi wengine hatuoni shida kuwapa Wanawake tunaowapenda mitaji kama wao wasivyoona shida kutupa mitaji ikiwa tutahitaji.

Ninachoelezea hapa ni Roho ya upendo, kushirikiana. Hiyo Wanawake wengi hawana
 
Raha ya Mwanamke awe anakupenda.
Mkitoka out mnapiga Pesa ya yeyote(iwe yako au yake) mkitoka hapo mnaenda Hotelini au Guest mnamalizana.
Au unaenda kwake au kwako mnaishi kishkaji.
Sio unafanywa kondoo alafu kupe anakunyonya
Hoja yako imejengwa kwenye ready-made. Unataka mwanamke aliyehuru kiuchumi, mwenye kipato chake, hutaki kuanza chini na binti asiye na kitu.

Basi shauri vijana juu ya wanawake ambao bado hawajakaa sawa kiuchumi, ambao kiuhalisia ndio wengi.
 
komaaaa kuwaita watu wetu mandondocha.

ndondocha ni huyo binti unayemdate anayeonekania kuwa yatima wa mapenzi. Ref ulichoandika kumuhusu..

Mapenzi ya kitapeli hayo mtaendelea kuwapa Vijana WA Watu umaskini.

Yatima wa mapenzi ni hao wanaotegemea nauli na vocha za wanaume ATI ndio mapenzi Yao yasimame.
 
Imagine umekutana na graduate, au binti amekaa home akitafuta kazi kwa miaka miwili hivi. Anaonyesha kukupenda, won't you help her when necessary?
 
Hoja yako imejengwa kwenye ready-made. Unataka mwanamke aliyehuru kiuchumi, mwenye kipato chake, hutaki kuanza chini na binti asiye na kitu.

Basi shauri vijana juu ya wanawake ambao bado hawajakaa sawa kiuchumi, ambao kiuhalisia ndio wengi.
Mtoa Mada hujamuelewa yeye kaangazia swala la wanawake kugeuza watu misukule ,unakata Mwanamke ni masikini wa kutupwa then anatumia Mdomo wake kumwambia mwanume kuwa bila hela hampati so kaangazia. Swala la Umasikini wa Fikra
 
Hoja yako imejengwa kwenye ready-made. Unataka mwanamke aliyehuru kiuchumi, mwenye kipato chake, hutaki kuanza chini na binti asiye na kitu.

Basi shauri vijana juu ya wanawake ambao bado hawajakaa sawa kiuchumi, ambao kiuhalisia ndio wengi.

Kuwa na Pesa ya vocha na nauli ni pesa ndogondogo. Haimaanishi anajiweza kiuchumi au anauhuru kiuchumi.

Ninachoelezea hapa ni kuwa kugeuzwa msukule kisa mapenzi na kile kiitwacho wewe ni Mwanaume hiyo ni dhana ya Wanawake Maskini waliorithi umaskini Kutoka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…