Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Kama unakereka na nauli au vocha kwa mtu ambaye unajua kabisa hana means za kupata pesa, basi tena mkuu. Utafute "ready-made" mkagawane bills huko restaurant na mkasaidiane kulipia lodge.
 
Imagine umekutana na graduate, au binti amekaa home akitafuta kazi kwa miaka miwili hivi. Anaonyesha kukupenda, won't you help her when necessary?
Unamsaidia mtaji ili akue kiuchumi na sio kuwa ombaomba maana Formula na mfumo wa Maisha hauitaji kumpa mtu hela Bali kumpa njia za kuingiza hela so lazima umsaidie Mtu kujikwamua kiuchumi na sio yeye kukutegemea kwa kila kitu hapo je mkiachana itakuaje?
 
Aise kweli tunatofautiana...nikae natafuta heshima toka kwa mwanamke, yaani kiumbe dhaifu mie nihangaikie heshima yake🤣🤣🤣🤣
Anyways uzuri wa maisha kila mtu na mtazamo wake
 
Mwanamke lazima ajiongeze bwana hapo ata hela kutoa unatoa tuu. Demu umedhamini mapambano kuni yeye ata siku moja kisema bby nipo hotel flani njoo basi tuenjoy hamna. Ah they just too selfish
 
Hapo tunaelewana mkuu, msaidie ajisimamie. Sasa swali, kama hujamuwezesha(japo siafiki kuwezesha mtu asiye mke), hii ni sawa na kusomesha mtu asiye mkeo. Unadhani utakutana nae vipi, aombe pesa kwa baba yake ili aje kukuona?
 
Kama unakereka na nauli au vocha kwa mtu ambaye unajua kabisa hana means za kupata pesa, basi tena mkuu. Utafute "ready-made" mkagawane bills huko restaurant na mkasaidiane kulipia lodge.

Mimi siteseki kwani sijawahi kuwa na Mwanamke anayekosa nauli ya kuja kuniona au vocha ya kuwasiliana na Mimi.

Naongea Kwa uzoefu wa nilichopitia. Huyohuyo Mwanamke anayekuambia Hana nauli na vocha elewa kuwa kwetu anapata vocha na nauli ya kuja kutuona. Na hii ni Kwa sababu anatupenda.

Mwanamke hakosi Pesa Kwa Watu wafuatao;
1. Mtoto wake
2. Mzazi wake hasahasa Mama yake
3. Mwanaume anayempenda Kwa Moyo wote.

Mwanamke anapokuambia Hana nauli au vocha ya kuwasiliana na wewe Kwa Sisi wataalamu tunajua kuwa huyo Mwanamke hakupendi. Hilo ni uamini au usiamini.

Mwanamke anakuwa Maskini na Hana Pesa Kwa MTU asiyempenda. Bado hunielewi?
 
Mwanamke lazima ajiongeze bwana hapo ata hela kutoa unatoa tuu. Demu umedhamini mapambano kuni yeye ata siku moja kisema bby nipo hotel flani njoo basi tuenjoy hamna. Ah they just too selfish

Na kwao uselfish kwao sio tatizo
 
Hapo tunaelewana mkuu, msaidie ajisimamie. Sasa swali, kama hujamuwezesha(japo siafiki kuwezesha mtu asiye mke), hii ni sawa na kusomesha mtu asiye mkeo. Unadhani utakutana nae vipi, aombe pesa kwa baba yake ili aje kukuona?

Unaweza kumuwezesha Mwanamke unayempenda ikiwa sio mbinafsi, mnapendana na kusaidiana.
Kuwa MKE haitoshi.
Bado hunielewi
 
Mkodie fremu muwekee bihashara uone kama atakuomba hiyo nauli. Umechagua mwenyewe jobless then unataka ajitafutie nauli serious??[emoji1]. Lakini unataka anayejilipia nauli mwenyewe, inamaanisha lazima huyo mtu awe na kakipato mazuri zuri kidogo, aliyejobless hawezi kumudu hiyo gharama. Na kwa jinsi nnavyokusoma , huwezi mkubali muuza maandazi bhana, Ila hapa wasema tu ooh auze hata maandazi, serious??[emoji23][emoji23]. Na kwa namna hii hata jobless humuhitaji wewe. Endelea kula wenye kazi zao ati [emoji1][emoji1][emoji1]. Wanaume wengine mna nongwa khaaaa, ukioa mkeo ataisoma namba utampigia mahesabu mpk ya kijiko, yee anunue kijiko we ununue kisu lol!!
 
Aise kweli tunatofautiana...nikae natafuta heshima toka kwa mwanamke, yaani kiumbe dhaifu mie nihangaikie heshima yake🤣🤣🤣🤣
Anyways uzuri wa maisha kila mtu na mtazamo wake

Mwanamke anakuambia hana nauli wala vocha lakini huyohuyo analipia nauli kumfuata mzabzab. Unajiuliza Kwa huyo Pesa katoa wapi?

Hapo ndipo wanaume wengi wanakwama. Wanajitutumua ili wapate Sifa za kijinga za Wanawake alafu muda huohuo kuna wahuni wanapiga bureee
 
Hapo tunaelewana mkuu, msaidie ajisimamie. Sasa swali, kama hujamuwezesha(japo siafiki kuwezesha mtu asiye mke), hii ni sawa na kusomesha mtu asiye mkeo. Unadhani utakutana nae vipi, aombe pesa kwa baba yake ili aje kukuona?
Binafsi Mimi huwa naamini ukimsaidia Mtu akainuka kiuchumi hata mki breakup bado atoendelea na Yale Maisha ya mademu wa bongo ya kutafta mwanume ili awe solebread winner so Unaweza kuangalia Boss Ruge mademu zake Kama Nandi zumaridi n.k wote amehakikisha anawatoa katika utumwa wa kuamini uchi ndo utawapa Maisha Bali hard work

So huwezi mfananisha Nandi na mademu wa bongo Kama Kajala n.k

Unapokuwa na mtu hata Kama Hana kitu mlishe fikra huru za ku-hustle na sio kutegemea wanaume hapo ujamsaidia hata ungempangia Apartment masaki bado hujamsaidia tumia formula za Jay Z au Ruge wa clouds kumpa mtu Nauli na vocha nikumfanya awe masikini Maisha yapo kimipango zaidi.
 
Mimi sio MTU wa kubagua Wanawake Wazuri wanaofanya kazi zao kama ujasiriamali.
Lakini ni mbaguzi na mwenye dharau Kwa Watu wanyonyaji ambao hawajishughulishi na wanataka kunyonya nguvu za wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…