Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

Unawaandaa hao wakina junior kuwa upinde wa baadae,,, kwangu ni marufuku kuwasha tv wakati hakuna taarifa ya habari na wakishaangalia taarifa ya habari inabidi wanisimulie na nikirudi jioni nawabebea magazeti wayasome na wanisimulie walichokielewa
 
Wote tumeongelea makwetu.

Wewe ni kwako una sheria zako na mimi ni kwangu nina sheria zangu.

Utakuja kustaajabu hao unaowasomesha magazeti wakawa upinde kwa haraka zaidi pale itakapobidi kwenda kwa jirani kuangalia vile ambavyo vinalingana na umri wao ambavyo hawavipati nyumbani kwao, kuishia kufanyiwa/kufundishwa maovu kuliko hao wanaoangalia TV katika usalama wa nyumba yao.

Wengi wetu tunaamini kuwa ukali na ukoloni ndio malezi bora kutokujua kuna uwezekano wa kuwa na watoto wenye nidhamu bila hata ya mzazi kuwa mkoloni.
 
Tumia simu kutazama unachopenda, kunyan'ganyana remote na watoto ni utoto.
 
Unajua kwanini hata uwe kichaa vipi lazima uiogope kambi ya jeshi?
 
Ndani naingia SAA usiku 5 natoka SAA 11 aaubuhi

Labda jpili nazuga zuga saa7 napotea tena mpaka saa5
 
kwangu mimi ni ww3,watu wananuna hatari.
 
Unajua kwanini hata uwe kichaa vipi lazima uiogope kambi ya jeshi?
Sioni uiano wa swali lako na mada husika ila naamini kuna unachokijua ambacho kidhati hasa sihitaji kukijua.

Kikubwa kila mmoja aamini anachoamini bila kuhukumu mwenzie ili tu maisha yaendelee.

Uwe na weekend njema chief. Peace✌️.
 
Mkuu vijiwe vya GAHAWA vipo
 
h
U

Ukiwa na watoto basi hata hiyo tv ni mali ya watoto lazima wafurahi wakiwa home mzazi anapaswa kujali furaha ya watoto sio kujijali yeye kama vipi anunue nyingine aweke chumbani
iyo
sasa sisi wenye chumba kimoja na sitting room moja itawaje mkuu?
 
Unawaandaa hao wakina junior kuwa upinde wa baadae,,, kwangu ni marufuku kuwasha tv wakati hakuna taarifa ya habari na wakishaangalia taarifa ya habari inabidi wanisimulie na nikirudi jioni nawabebea magazeti wayasome na wanisimulie walichokielewa
Itakuwa mkurya weweπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

Naamini hata vipaja vya kuku na firgisi ni kwa ajili ya baba tu nyumbani kwako.
 
Acheni ukiritimba na ubeberu [emoji3525] lazima uwe fair kwa watoto wako ukiwa fear nao watafurahia na watakubaliana na wewe kuangalia unachotaka muhimu ni kutumia kauli nzuri kwa watoto wako watawale kisaikolojia sio kwa ubabe
Nje ya mada.

John naweza kupata kuku wa kienyeji wa kula.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, Vipindi vya TBC ni vya ajabu sana.....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaah jamani...
Mbona kawaida tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…