Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa...
Kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilohilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake.
Bili ya maji hataki watu walipie moja kwa moja kwenye control number ila kila mmoja amtumie kwenye simu pamoja na yakutolea.
Ukiangalia hela yenyewe anayopata extra haifiki hata elfu ishirini.
Popote ulipo Fadhili Setembo nakusalimia sanaUkiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa...
Kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilohilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake.
Bili ya maji hataki watu walipie moja kwa moja kwenye control number ila kila mmoja amtumie kwenye simu pamoja na yakutolea.
Ukiangalia hela yenyewe anayopata extra haifiki hata elfu ishirini.
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.Tatizo lenu mnakimbilia vyumba vya bei rahis mfano bei 20, 30 hadi 50. Lazima mkutane na hayo malamimiko kwenye nyumba nyingi za urithi za kupangisha.
Sio wanakimbilia mkuu uwezo ndio unalazimisha mtu afanye hivyo. Unafikiri nani ambaye hataki kuchukua apartment pale Kilimanjaro Kempinski mwaka mzima kama wewe ulivyopanga hotel nzima mkuu.Tatizo lenu mnakimbilia vyumba vya bei rahis mfano bei 20, 30 hadi 50. Lazima mkutane na hayo malamimiko kwenye nyumba nyingi za urithi za kupangisha.
Wenye nyumba hapa Dar huwa wakiona mtu anapanga wanadhani hana nyumba.Kujenga ni kazi kubwa sana. Kama ww siyo Mfanyabiashara wa kati /mkubwa kujenga ni KUJINYIMA SANA.
MWAJIRIWA ndo kabisaa labda awe MWIZI.
WAPANGAJI walitambue hilo, hakutakuwa na shida yoyote kila kitu kiwekwe kimaandishi ili kuepuka huo unaouita UMASKINI .
Jaribu kujenga yaani UTOE FEDHA halafu unaletewa MCHANGA!!
UKIMALIZA kujenga weka mpangaji ambaye ww unamuona ni TAJIRI !
Siku anaondoka ujue , choo utakikuta kichafu hakijulikani ni rangi gani? Masinki ndo kabisaa, vitasa kukuta vizima muombe Mungu.
Hakika mpangaji hajali nyumba yako sasa FIDIA za hayo yote nani anafidia? Mpangaji mpya akija , inabidi umrekebishie yote.
Kupata mpangaji Tajiri na kupata mwenye nyumba Tajiri basi MSHUKURU MUNGU.