Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake.
Bili ya maji hataki watu walipie moja kwa moja kwenye control number ila kila mmoja amtumie kwenye simu pamoja na ya kutolea.
Ukiangalia hela yenyewe anayopata extra haifiki hata elfu ishirini.
Bili ya maji hataki watu walipie moja kwa moja kwenye control number ila kila mmoja amtumie kwenye simu pamoja na ya kutolea.
Ukiangalia hela yenyewe anayopata extra haifiki hata elfu ishirini.