Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Duh kweli kila shetani na mbuyu wake......
 
Kama hamujui tuulizeni tuwawekee hapa ni lini alianza kupakuliwa na nani kampakua!!
Thread imeanzishwa kutaka wenye ushahidi wa tuhuma za makonda wauweke wazi. Kama unao ushahidi weka hapa tuusome.
 
Ndugu, ni rahisi sana... ukiona Makonda hakuwajibu hao ubalozi ujue ni kweli (silent means consent), kama si kweli awafungulie marekani kesi ya defamation/kumchafua mdhurumu watu haki ya kuishi na wao katika kujitetea kwao mahakamani watamwaga ushahidi wao... ni hivyo tu... hakuna namna...
 
Serikali ime msingle out Sabaya na kumuacha huyu. Kubenea amejaribu kumshitaki lakini kuna visiki kibao!
Anajigamba eti yeye kina kirefu; who is behind him?!

Uliyaona yale mapicha aliyopiga na samia miaka ya nyuma?
 
Uliyaona yale mapicha aliyopiga na samia miaka ya nyuma?
Acheni kubabaika na picha enyi watu.

Zipo picha za magufuli na zitto kabwe hapo zamani walipiga.

Zipo picha za membe na magufuli zilipigwa hapo zamani.

Sasa hizo picha ndio za nini zithibitishe kitu gani ?
 
Subiri muda ukifika, huwa tunaanzaga na brainstorming Kama kwa sabaya. Sabaya alijistukia akaenda mwenyewe kwenye media kujibrand kwa anahisi ni mazuri na kujitetea , Kama huyu naye kakimbilia mitandaoni kujitetea na kutukebehi eti kajenga shule, alitoa wapi pesa? Akulipwa mshahara? Kajenga chama? Chama gani au kunyamazisha chama na kuleta chuki za kimoyoni against chama tokana na matendo yake.
 
Pole Kamanda Sirro,
umeshachelewa, baada ya kuzamisha CCTV camera ya kushambuliwa kwa Lissu, hauhitajiki wewe wala mazingaombwe yenu.
 
Soma vizur andiko la Pompeo acha taarabu.sheria unazodai kuzitumia leo ndio hao kina makonda walizitumia kumiza watu! Unaweza kutuambia makonda aliyetaja na kuwachafua watu kwa madawa ya kulevya kwa kutumia sheria gani?
Unaweza kutwambia pesa za kuwapa kina kasema na wachezaji wa simba alikuwa anazipata wapo na aligawa kwa sheria gani?
Unadai ushahidi wakati watu wamemiminiwa risasi kama wezi? Unadai sheria na ushahidi wakati kuna wazzi wa kina ben Sanane hawajui watoto wao walipo na hakuna kilichofanyika hadi leo?
Mpeleka utahira wako lumumba! Makonda lazima alipe maumivu aliowasababishia watu!
Hata sabaya mlimtetea, leo yupo wapi?
 
Makonda aliwahi kutoa ahadi ya kurudishwa uraiani mateka Roma mkatoliki,tena akatamka na siku. Siku hiyo ilipofika,Roma akaonekana. Inaonyesha kwamba aliufahamu mpango wote!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kesho asubuhi oga, vaa suti kali na nenda ubalozi na marekani ukiwa umebeba lile katazo lao la Makonda kutokanyaga Marekani. Wakishakupokea wape copy ya katazo lao then omba ushahidi kwa kile walichokise a.
 
Personally sijawahi mpenda Makonda hata kidogo kwa tabia zake za majivuno na kudhalilisha watumishi wa serikali,ila nna hakika kwa jinsi huyu jamaa anavyochukiwa sidhani kama kungekuwa na ushahidi wa yeye kuhusika na mauaji au uvamizi wa Lissu watu wangesita kuuweka hadharani.Swala la kuvamia clouds na police wenye silaha hata kama atashtakiwa anaweza chomoka kirahisi tu,sababu alikuwa anafanya kwa mamlaka ya uenyekiti wa kamati ulinzi na usalama ya mkoa so wanaweza kushuku chochote cha hatari na wakaingia kukagua as long as hakuna raia mwema aliyeumizwa kwenye uvamizi huo.
 

Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae atakuwa na ushahidi usio kuwa na shaka wa ufisadi wa Makonda atauweka hapa. If anything huo ushahidi hivi sasa uko kwenye vyombo vinavyohusika!! Hivi wewe kweli unadhani Marekani wangempiga marufuku Makonda kuingia nchini mwao bila ushahidi wa kuwa ni muhalifu?

Nyie wapambe mnaomlia hela zake ndio mnakuja na hizo thread za kijinga eti watu waweke ushahidi hapa, ili iweje? Mnamlia Bashite vijihela vyake vya mwisho mwisho kabla ya kufilisika hamna hata huruma!
 
Inavyoonekana kwa sasa kila anayeshikilia misimao ya hayati au kuwa karibu na akina Makonda et al anaogopa kuchukiwa na watanzania.

Leo Antony Diallo ametema nyongo jinsi CCM ilivyoiba kura kwa kutumia vyombo 🤣🤣🤣
 
Kumbe wanalipwa?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…