Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

Kisa tu wamerakani walisema ndio imekuwa kweli?

Viongozi wangapi walishawekewa ban na Usa kwa figisu ili wakubaliane na matakwa yao?

Hivi unajua hata Mwl Nyerere Wamarekani walikuwa wakimuita dikteta mkomunist?


Wewe weka ushahidi humu hata wmarekani walikuonyesha ushahidi ulio wa wazi.
 

Sukuma gang wame punic😂😂 tuliwaambia acheni kutumia madaraka vibaya. Yaani mlifika mpaka kutukama Padre na wachungaji wakati wa covid😂
 
Sukuma gang wame punic😂😂 tuliwaambia acheni kutumia madaraka vibaya. Yaani mlifika mpaka kutukama Padre na wachungaji wakati wa covid😂
Haya yanayoka wapi?
 

Wewe ulivyokuwa mpambe nuksi hata ukiambiwa Makonda alivamia CLOUDS MEDIA house utabisha na utataka uletewe ushahidi!! Sasa Watu wa namna yako huwa hamtumii akili kufikiri bali matumbo yenu hivyo ni afadahali kuepukani na ufala wenu.
 
Kwani Sabaya kufungwa ndio sababu kuwa alitenda kosa? Kuthibitishiwa kuwa Makonda alifanya uhalifu mpaka niwe prosecutor? Mbona watu kibao wanaonyeshwa walivyofanya makosa kupitia JF?
Sukuma Gang safari hii mmeshikwa pabaya, mlikula mkajisahau roho za watu sasa zinawarejea
 
Wewe ulivyokuwa mpambe nuksi hata ukiambiwa Makonda alivamia CLOUDS MEDIA house utabisha na utataka uletewe ushahidi!! Sasa Watu wa namna yako huwa hamtumii akili kufikiri bali matumbo yenu hivyo ni afadahali kuepukani na ufala wenu.
Naona unatafuta mabwana ili ubanduliwe kinyesi
 
Nashukuru mkuu P. Lakini sababu wanamchafua kupitia social media ni vyema wakatuwekea humu.
mnamtafuta mchawi wakati mnamjua?
Lissu alipigwa risasi, Akwilina, Azory Ben Saanane hebu acheni historia irekebishwe tuwajue ninyi si watu na Makonda wenu
 
Anza na ubalozi wa Marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko Marekani...
Kiukweli haikuwa ubalozi. Ilikuwa ni juu zaidi, sana tu.
Ni serikali ya Marekani kupitia State Department ( wizara ya mambo ya nje) ilisema. Mike Pompeo ( secretary of state) - waziri wa mambo ya nje - alisema hivyo kwenye ile communique.
Kweli, mtu anatuhumiwa na taifa kama US kudhulumu haki ya watu kuishi! Haki nilishangaa na kuumia sana! Hatuwajui hao aliowadhulumu ni akina nani! Nafsi inaumia, tuliishi kwenye dhama mbaya.
 
Hizo za ushiriki wake kwenye tukio la Tundu zilikwenda na Magufuli, kwanini usiwatake polisi na vyombo vingine vyenye wajibu wa kulinda raia na Mali zao zijitokeze kusema ni nani alihusika na lile tukio?

Wao wanafahamu mchezo mzima upivyokuwa, wanafahamu mipango ilifanywa wapi, na nani mpaka namba lilivyotekelezwa, Ila kwa amri kutoka "juu" ambako kwa sasa ni udongoni chato, walipigwa marufuku kuchunguza wala kukamata yeyote...

Kumbuka Muroto alianza mchakato wa kuchunguza tukio,na alizungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio lenyewe, lakini muda mfupi baadaye aliufyata kimyaaaaaaa....
 
Hii nchi imejaa wajinga, mkuu.
 
Wewe siyo mahakama. Kaa kushoto.
 
Mbona Kubenea amepeleka haya mahakamani, basi acheni kumuwekea mikwara ibainike.
 
Well said, Bams.
 
Futile! Kabisa.
 
Tukio la uvamizi Clouds na tukio la kumkwida Mzee Jaji Warioba yanatosha kumpoteza.

Hivi mtu aliyefikia wadhifa wa Mh Mzee judge Warioba hapewi walinzi wanaombatana naye kila mahali anapokuwepo kwenye public? Kama anapewa walikuwa wapi wakati Makonda anamkwida? Walichukua hatua gani kuhakikisha hakwidwi? Khalafu baada ya hapo Mh huyu akawa Mkuu wa Wilaya!!! Haya kama sio mazingaombwe tuite nini?!
 
Kweli ndugu, ni state department... Asante kwa kunisahihisha, ila kama Makonda hakubari inabidi afungue kesi dhidi ya serikali ya marekani- state department kwa uchafuzi ule kama ni kweli au la ili wajitetee
 
Ubalozi wa Marekani uliudhiwa na kitendo cha Makonda kusema mashoga wote watatafutwa popote walipo Dar ili washatakiwe au wafukuzwe kutoka jiji hilo.
 
Vijana wa Gambosh aka Wasukuma hovyo. Nenda kafukue shimo la Shetani Magufuli utapata ushahidi. Kisu kimegusa mfupa. Bhumbavu sana Idigunde.
Haihitaji ushahidi mwingine kujua kwamba wewe ni fukara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…