Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Ukiweka mada kubali na ruhusu maoni mseto. Usinilazimishe niandike kile unapenda. Otherwise ungejiandikia mwenyewe kiganjani mwako
 
Kama kawaida 😂

Sema nimejifunza kuishi kulingana na hali yangu, siishi juu ya kipato kwakweli

Sijakamilika sana kiwokovu, lakini najitahidi kuna mambo mengi nimeyaacha naamini nitaacha na mengine zaidi, nimeweza kupunguza mitoko huwa sina kabisa sio kama awali, nimeacha kuomba omba watu ela, na mengine mengi

Najitahidi kuwa kiroho zaidi kuliko kimwili maana mi ni mdhaifu sana! Nina imani nitakuwa kiroho tu namimi!

Asante tena na tena! 🤝🏽
 
Kipindi cha mtu kuwa free, mpweke au idol, huwa ni danger sanaa anaweza asikazane ila akajikuta anapata wazo la nyeto 😅😅
Umesema sahihi Mkuu

Hata enzi za Shule, pamoja na kuwa busy na Masomo pamoja na michezo lakini ilikuwa tukienda bafuni kuoga lazima kushtua

Otherwise tuletewe jinsia ke kucheza nao muziki 🙌
 
Na nikijifunika unapata faida gani?
Unajipa kazi ya ulezi aisee😂

Nimeomba ushauri kama huna unakaa kimya sihitaji mambo mengi mengi kaanzishe uzi wako ujifunike wakuone wa maana sana mi niache ndo huwa niko hivi na huwezi kulibadili hili!
Achana na wadada wanafiki, wanapenda kujipa maisha ya high quality humu kumbe hamna lolote,Kila jambo lao huku ni zuri lakini wengi ni wauzaji wazuri sana taarifa tunazo
 
Ukweli mtu usipofanya hata hela inaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…