Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Waipate hii na wengine. Safi sana mrembo kwa kulitambua hili
 
Wewe una akili sana.. hizi imani kuletewa zimetufanya tumekuwa wapumbavu sana .. Sasa kama hapo anataka kushindana na nature ..

Hakuna kitu kinaitwa dhambi au sijui motoni.. tumekuwa programmed na mambo ya kipumbavu sana

Akatombwe huko
Man unatumia lugha Kali sana Yan!
 
Wewe una akili sana.. hizi imani kuletewa zimetufanya tumekuwa wapumbavu sana .. Sasa kama hapo anataka kushindana na nature ..

Hakuna kitu kinaitwa dhambi au sijui motoni.. tumekuwa programmed na mambo ya kipumbavu sana

Akatombwe huko
Best reply ndio hiii
 
Siri ya mtu ni bonge la kichaka wasikudanganye daily wanakula corn
 
Msaidie mrembo bwana mbususu inapwita kisa upwiruuu
Nimesha gonga mlango nasubiria afungue...jirani.......maana kashikwa na dini mfyuuuuuuu





HIVI ULISOMA SEMINARY ZA WASICHANA ? ZILE ZINAZOWAANDAA WASICHANA KUWA WATAWA ?


MBONA HAO WATAWA WANATOMB.E.KA BILA KIFICHOOO






NI FUNGULIE MLANGO NIJE



KUNA KI HELA NIMEKIPATA CHA UDALALI HAPA...NATAKA NIKAKODI CHUMBA HOTEL YA NYOTA 5 SASA SIWEZI LALA MWENYEWE .
 
Heri kuwa moto au baridi kuliko uvugu vugu ....wote nyinyi na hizo dini zenu feki ni uvuguvugu (chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu) MTATAPIKWA hivyo wewe bora kuwa mzinzi tu kuliko huo upumbavu wa kina mwamposa na walokole na madhehebu ya dini
 
Mambo ya ajabu haya.

Umekuwa unafanya ngono toka upo 15yrs hadi leo upo 30yrs ghafla unawaza ku-abstain unadhani ni rahisi kiasi hicho?

Ilikuwa rahisi zamani na hata wao walikuwa wanaolewa wakiwa wadogo, mtu upo 30+ mwili umeshazoea ngono unaachaje sasa.

Nadhani ni kujilisha upepo tu, dawa ni kutafuta mtu mmoja uwe unakipeleka kila ukisikia nyege. Ubaya ni kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.

Ni asilimia ndogo sana wamejaribu na kuishinda hii vita. Kuwekana ni hitaji muhimu la mwili, ndio maana kuna wakati hata mental state inabadilika mwili ukiwa na hitaji hilo.

Narudia, ubaya ni kutombesha hovyo, na bahati mbaya wadada wa sasa mnatombesha hovyo sana, ndio maana mnajishtukia.
 
Omba roho mtakatifu akusaidie,soma neno la Mungu .Kabla nilikuwa mzinzi sana lakini Sasa hivi Mungu amenifanye niweze,naweza kukaa miaka.Kazi ya kushinda dhambi c yako,Roho akijaa ndani utashinda Kila aina ya udhaifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…