Nimechoka utatafuta ukweli sehemu nyingine unayoweza kuwa msikivu! sikuwezi jombaa, hauko tayari kujifunza ata kidogo!Sita kutajia hadi uniambie wewe umemfahamuje huyo asiye muhuni na ni nani ?kisha nitakutajia uhuni wake .....uwezi kuipotosha injili kisha ukawa ni mtakatifu ...moja kwa moja unakuwa ni muhuni tu
Weweee! hilo andiko halina mahusiano na ndoa ! Unasoma biblia kama nyuzi za jf sio😂Kukopesha wakati mwingine hutumika kama njia ya kupata NDOA..!!
Isaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Tamaduni za wazungu zinawasaidia binti wasipate mimba; ni busy muda wote wakiwa vijana,wanapata elimu mapema,na Mara nyingi hufanya romance badala ya tendo la ndoa.Sisi wafrika na wa asia hatuwezi.Mafunzo ya dini yanawasidia piaNaombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Kwanini hatuwezi🫢Tamaduni za wazungu zinawasaidia binti wasipate mimba; ni busy muda wote wakiwa vijana,wanapata elimu mapema,na Mara nyingi hufanya romance badala ya tendo la ndoa.Sisi wafrika na wa asia hatuwezi.Mafunzo ya dini yanawasidia pia
Umeongea jambo la maana sana. Ni kweli kuna mparaganyiko mkubwa, hasa kwenye suala la malezi. Vijana wa kiume wengi wanapotea kwa sababu hawapati uelekeo wa kiume wa maana, na kwa upande wa mabinti, dunia inawasukuma zaidi kwenye ‘image’ badala ya utu. Tunahitaji kurejesha mizani, kwa neema ya Mungu.😥Nimekuelewa mamake. Langu lilikuwa angalizo la jumla tu kuhusu the law of attraction; and it was necessarily not about you.
Kwa kizazi hiki cha Gen Z nadhani mparaganyiko ndiyo utakuwa mkubwa zaidi maana watoto ni kama wanajilea wenyewe tu. Na thamani ya mwanamke inazidi kushuka maana mbali na kutoa mbususu, mwanamke anaonwa kama vile hana kingine cha maana. Labda hili vuguvugu la wanawake kushika mavyeo makubwa makubwa litasaidia japo nadhani tatizo hasa ni huko chini kwenye malezi.
Na mbaya zaidi juhudi nyingi zimewekezwa kwa mtoto wa kike. Mtoto wa kiume ametelekezwa na kwa hali ya sasa nadhani ni wazi kwamba ni kazi ngumu to raise real men ambao wanajitambua na watakaoweza kusimama kama wakuu wa familia, walezi, walinzi na makuhani wa familia zao huko mbele ya safari. Huku nako mabinti ndiyo kwanza wanafundishwa mambo ya usawa 50/50 full feminism.
Something gotta give!
Waislamu wamenikimbia hapa JF bado nyinyi wahuni wa makanisani .Nimechoka utatafuta ukweli sehemu nyingine unayoweza kuwa msikivu! sikuwezi jombaa, hauko tayari kujifunza ata kidogo!
You listen to argue! You don’t want to learn kwaio ata niongee nawaka moto wewe lako ni moja😅
Si kwa hiari😅
Umeongea jambo la maana sana. Ni kweli kuna mparaganyiko mkubwa, hasa kwenye suala la malezi. Vijana wa kiume wengi wanapotea kwa sababu hawapati uelekeo wa kiume wa maana, na kwa upande wa mabinti, dunia inawasukuma zaidi kwenye ‘image’ badala ya utu. Tunahitaji kurejesha mizani, kwa neema ya Mungu.😥
Ukiangalia tu dada zetu pia wanajishusha wenyewe thamani kwa mambo ya aibu kabisa! Wengine wakifanikiwa wanajiweka juu pia,(sio kwa ubaya lakini) ukiwa masikini ni mateso makubwa😅kwaio mwanamke amechoka kuonekana kama kiumbe dhaifu! Wengine kutumika kama chombo cha starehe kwa mapenzi au sio mapenzi yao!
Mi huwa najiuliza ni kutokana na enzi za mababu zetu, kuna mambo yalitokea zamani unajua, mwanamke hapelekwi shuleni, haruhusiwi kusimama mbele au kuongoza watu! Waliolewa wadogo sana walinyimwa haki zao kama wanazopata wanaume! Kwaio ili kuyaondoa haya ilibidi women movement ifanyike na wanaume walikuwemo usifikiri wanawake tu😅 ndio feminism ikatokea na kuraise awareness amongst themselves! Kwa hivyo kuna wanaume ni mafeminist pia!
Pia kwa ninavyoelewa Feminism ni harakati au mtazamo wa kijamii unaolenga kuhakikisha usawa wa kijinsia hasa kupigania haki za wanawake ili wawe na nafasi sawa na wanaume katika jamii, kazi, elimu, siasa, na maisha kwa ujumla.
Na ilitokea ili;
~Kupigania haki za wanawake
~Kupinga ubaguzi na unyanyasaji wa kijinsia
~Kuweka mazingira ya usawa kati ya wanaume na wanawake na siyo kumpa mwanamke nguvu ya juu zaidi, bali nafasi sawa.
Waliosoma elimu ya jamii hapa wananielewa zaidi
Hakuna linaloshindikana mbele za Mungu. Yote yawezekana kwa yeye aaminiye. Ukimwamini Yesu na kupokea wokovu atakupa nguvu za kushinda dhambi.Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Njoo tuzabzabuane Miss NatafutaAisee
Wenzio tunavaa pedi bila period huku
Kitu kinanyemvua nyemvua
Kwani nimesema nimekosa mtuNjoo tuzabzabuane Miss Natafuta
Pole sana ndugu,jaribu kunawa na maji ya moto kwa bibi,itaisha yenyeweAisee sio poa
Unapata mihemuko Hadi kizunguzungu yaani
Huu mwaka sijui kama natoboa
Niombeeni Sana jamani
Thats more than terrible!Jamii ilimkandamiza mwanamke. Ila pia kwa sasa, haina maana mwanamke amekuwa tofauti na mwanaume. Wote wanahitajiana.
Sababu ya kukosa uimara kwenye familia nyingi, malezi ya sasa kwa asilimia kubwa wanafanya wakina mama. Ndio maana watoto wa kiume wamekuwa hawajiamini. Wanataka kuwa kama wanawake. au waishi kwa huruma ya wanawake.
Terrible.
Thats more than terrible!
Leo hii, wanaume wengi hawana msingi wa uanaume kwa sababu hawakulelewa na baba waliopo au walio busy..
Hivyo, watoto wa kiume wameachwa, wakina mama ndiyo wanaolea pekee yao, matokeo yake vijana wa kiume hawajiamini, hawajitambui, na wanategemea wanawake hata kihisia.
.
- Vijana wa kiume wanajifunza uanaume mitandaoni, na mara nyingine kutoka kwa mifano mibaya.
- Mtoto wa kike anapewa msaada, ushauri, na ulinzi zaidi kijamii kuanzia taasisi ya elimu, kiserikali n.k huku mtoto wa kiume akiachwa kupambana kivyake tukiwa na inani mwanaume siku zote anajisimamia!
Ili kujenga familia imara itabidi;
- Wanaume warudi kwenye nafasi zao.
- Malezi yahusishe wote wawili.
- Vijana wote wafundishwe kujitambua na kuheshimiana, si kushindana!
Inasikitisha sana kaka, ila ndo hivyo hakuna jinsi na tutasingizia sana malezi! Ila zamani kwani tuliishije? Wazazi wetu walifanyaje?Lakini shida yetu leo ni kuwa wanaume hataki kujishusha. Na wanawake pia. Kwahiyo we meet in the middle. After the collision, we tend to split apart.
By products zetu ndio mali ya kina mama. Ingawa we are all responsible.
Mwanaume wa kujifunza mtandaoni confidence atatolea wapi? Hajui kwamba mwanamke naye anahitaji doxi. Ila aende kwa akili na utulivu. Siku hizi wanachojua, wanawake wananunuliwa. watafute hela waende sokoni.