Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Usisahau, anaishi dunia hapa hapa wanakoishi akina Yuda, Kaini, Abrahamu wenye wake mia 3 na michepuko mia 7 etc
 
Usisahau, anaishi dunia hapa hapa wanakoishi akina Yuda, Kaini, Abrahamu wenye wake mia 3 na michepuko mia 7 etc
Ila wewe unang’ata na kupuliza! Mifano yote si ya kuiga king Solomon alikuwa na hao concubines 700 we unaweza kumuiga ukawapata na wasitetereke? Basi tufuate mifano mizuri! Kwanini siku hizi watu na wema ni vitu tofauti😂
 
Bora we tunaongea lugha moja

Nakuelewa Kwa sababu nilikua na malengo kama yako tokea nikiwa shule ya msingi. Nilifanikiwa Kwa asilimia 98.

Nilianguka na mtu aliyetarajia kuwa mke wangu ila Kwa kua mipango si matumizi , mambo hayakwenda kama ilivyopangwa. Nilichofanikiwa ni kutojihusisha na kimasihara ujana wote hadi pale nilipotaka kupata mwenza wa maisha.

Hilo jambo linahitaji kujikana na udhamirie kutoka ndani ukiwa unajua nini unataka. Lazima uwe na ujihusishe sana na mambo yanayokuweka karibu na uwepo wa Mungu. Vitu Gani unasikiliza, unasoma, unatumia muda wako mwingi, nyimbo zipo unasikiliza na kuangalia, watu Gani wanakuzunguka na unatumia muda mwingi pamoja.

Na mwisho kwanini unataka kukaa mbali na kimasihara, lengo lako hasa ni lipi? Hiyo inaamua sana uwezo na namna utakavyoikimbia zinaa.

Mstari uliokua unanisaidia sana enzi hizo ni Mithali 6:32.

Kwaleo natishia hapa.
 
Aisee Asante sana! Mungu akubariki 🙏🏽
Mawazo mazuri sana haya ukiongezea na experience…ntafanyia kazi huo ushauri😊
 
Ulipata solution unisaidie
 
Malezi ya watu yanatofautiana sana. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Ninasikitika sana mtu mzima kutoa matusi. au kudharau wakinamama hii inaonyesha kabisa kwamba psychologically ana tatizo. The way forward just ignore him maana kwa vyovyote vile hawezi kukusaidia.
 
Y
Yaani kuna watu wana shida kabisa ya akili! Huwezi ukaweka bando unajiambia leo kabisa ntawakomesha humu just bcoz kuna issue behind that’s why most men wanakuwa na matusi tu bila sababu za msingi! Mtu humjui unamtukana! Wengine wameoa kbs😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…