Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Get busy kutafuta hela dear,find another project ya kukufanya busy huku ukijitahidi kuingia kwenye you tube channels za maombi na mafundisho ya neno la Mungu
nina experience na ninachokwambia and yes mimi nime practice celibacy it’s possible na inakupunguzia mambo mengi unakuwa na amani wakati ukimsubiri mr right
upo kipindi kizuri sana being single is a perfect time to hear God cleary
ukihitaji muongozo zaidi karibu pm I can help especially kwenye kusali na kufatilia sermons zitakazokupa uelewa wa kipindi unachopitia
 
Wanakulana na walokole wenzao.
Kabla sijawa mtu wa kanisa nilikuwa nawaza hivyo hivyo
Ila sasa tangu niwepo Kanisani nimeona wachungaj wakila wanakwaya, vijana, wamama n.k
Na wao pia wanaanguka Ila ni kwa wao kwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…