Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

Epuka mtego huo apa anakua ana power juu yako. Hio mbinu ilitumiwa sana na Virgin queen wa Uingereza ili kuwa na nguvu juu ya watawala wengine inshort huyo demu hatokuja akupe chochote
 
Mkuu mbona simple sana, Kwanza pole kwa kumwonesha kama unampenda sana kosa hilo..ngoja nikupe approach
1. Jifunze Kusikilza Kwa Makini,
- Mwanamke mgumu mara nyingi huwa na sababu za ndani zinazomfanya kuwa na ukingo wa kuvumiliana. Badala ya kujaribu kumvuta upesi, sikiliza kwa undani anachosema na kujifunza kumfahamu zaidi.
-Onyesha udadisi kuhusu maoni yake, matakwa yake, na hata masuala yanayomhusu. Hii inaweza kumfanya ajisikie thamani na kuvunjika kwa taratibu.
2. Kuwa Mvumilivu na Mwenye Subira,
  • Usilazimishe mambo. Mwanamke anayekuwa na msimamo imara mara nyingi huhitaji muda wa kujiamini kwako.Jenga uhusiano polepole kwa kushirikiana katika mazungumzo ya kina na matukio ya kawaida.
  • Thibitisha uaminifu wako kwa kuwa mara kwa mara katika matendo yako. Mvumilivu hushinda kila mara
3. Jitoe Kwa Hekima na Ujasiri
  • Onyesha ujasiri wa kumtakia mema bila kujidai. Mwanamke mgumu anaweza kukubali kukaribia ikiwa anaona kwako uwezo wa kumtunza kwa hekima na uangalifu.
  • Epuka kujifanya mnyenyekevu kupita kiasi au kumtumia maneno ya kutapaliza. Badala yake, kuwa mwaminifu na mwenye msimamo.
4. Tambua Mipaka Yake na Kuheshimu
- Usidharau maoni yake au kujaribu kumlazimisha. Ikiwa anaamua kusita, heshimu hilo na uendelee kuwa rafiki wa karibu. Heshima ndio msingi wa mapenzi yoyote.
-Piga moyo kwa vitendo vya dhati, kama vile kumtunzia wakati wake au kumsaidia katika shida zake. Hii inaweza kumvuta kwa njia ya asili.
5. Tumia Vitanzi vya Kiroho na Kiakili
-Mwanamke mgumu mara nyingi hutilia maanani mawazo yake na uwezo wako wa kumvutia kiakili. Zindua mazungumzo yenye mafunzo, ucheshi, au mada zinazomhusu (kama vile masomo, kazi, au malengo yake).
-Toa fursa ya kukutana naye katika mazingira yanayoweza kumfariji (k.v. sehemu zenye utulivu, bustani). 6. Jifunze Kutoka kwa Watu Wakubwa au Marafiki Zake.
- Kama unaweza,pata maelezo kutoka kwa watu wanaomjua (kama familia au marafiki wake). Hii inaweza kukupa ufahamu wa namna ya kumkaribia bila kumkasirisha.
-Epuka kusema au kufanya kitu ambacho kinaweza kumfanya aonekane kama unamjaribu kwa njia isiyofaa.
7. Jikumbushe Kuwa Si Kila Mtu Anastahili Wewe.
  • Ikiwa anabaki kuwa na msimamo mgumu hata baada ya juhudi zako, kumbuka kuwa mapenzi si vita. Wakati mwingine, kujitoa kwa heshima ni ishara ya nguvu, si udhaifu.
  • Fungua fursa kwa mwingine ambaye anaweza kukubali mapenzi yako kwa urahisi.
NOTE. Mkuu point 5 make sure unajuwa na uzaifu wake.
  • Usitumie mbinu za udanganyifu, unafiki, au ulimi mrefu. Mwanamke mgumu anaweza kuwa na uwezo wa kugundua hilo, na hii itaifanya kuwa ngumu zaidi.
  • Kuwa wewe mwenyewe. Ujasiri wa kweli na utashi wa kumjali kwa dhati ndio njia bora ya kumvuta.
Kumbuka: "Mwanamke mgumu" anaweza kuwa na sababu nyingi za kihistoria, kisaikolojia, au hata kimazingira. Kujitahidi kumfahamu kwa undani ndio ufunguo wa kweli.
 
Wapo wengi ila wenye sifa kama zake hamna napenda mwanamke mwenye dharau sijui kwanini
Dharau huwa ni kama upinzani flani'vi halafu inavutia!

Vyote hivyo, maringo, kujidai na usmart vinampandisha thamani.

Hizo tabia za mwanamke humjaza mwanaume ghadhabu na munkari ya kufuatilia ili auone mwisho wake.

Hutengeneza ligi ya mashindano kichwani mwake, ampate ili amuwini na akione anachoringia na dharau zake.

Ndiyo hapo mtu unakuta anajidhiki kwa sababu ya kukusanya hela ya kuhonga ili ajitwalie ngao ya ushindi wa penzi afaidi yeye.

Hapo yupo tayari kula padogo na kuhonga pakubwa ili kuua manyanyaso yatokanayo na maringo na ubishi wamtu mmoja.
 
Hellow

Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa

Nimewekeza pesa nyingi kuna muda nampa mpaka akiba yangu ila haoni kama nampenda nimechoka nifanyeje

Nilimfwata baada ya kusikia washikaji kuwa wanamsema ni mgumu sana so na mimi nikazama kimya kimya ila sasa moyo unanipelekesha na mpenda sana ila jibu hanipi

Nifanyeje ushauri wenu mwenzenu nimekamatika kwa huyu bidada kitoto cha 2000
Kama ni kweli aisee umeivaa unafaa uende 92KJ ukapige kozi. Yani mwaka haujapewa jibu na wewe upo tuu? Kwani anakitu gani special sanaa ambacho kati ya wanawake 10 hapatakosa kumpata aliyenacho?
Ohoo, pengine nimekosea una macho ya rohoni umeona vingine vya ndani. Endeleza mission ukiona bado ngumu omba usaidizi chap chap! Mm nikishakutana na sampuli hiyo naweka Kando kama Tissue...Mapenzi ni hisia si kulazimishana.
 
Back
Top Bottom