Hapana mkuu wapo walio na mpunga mrefuu na hawapendi sifa🤣🤣Wanaume wa Jf ndo hawahawa maskini wenzetu wa huku mitaani😏, tofauti yao ni kuwa wako nyuma ya keyboard na simu zao na tablet za mikopo
Weee, hapana!!!Ebu tuone😂
Mhhh....mbona kama mtego huu?🤔🤔🤔
Kwa hiyo hizo peza unazopewaga huwa unaenda kununulia MAKALIO?Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.
Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?
Unataka Kusema Sisi Ni Kaya Masikini (TASAF,)Wanaume wa Jf ndo hawahawa maskini wenzetu wa huku mitaani😏, tofauti yao ni kuwa wako nyuma ya keyboard na simu zao na tablet za mikopo
Maneno matupu bila picha hayanogiUnataka wenye makalio tuanze kutukanwa 😔😔😔🥴🥴🥴
Tena hasa hasa hawa CHAPUTA na KATAA NDOA.....ndo TASAF kinomanoma😁😁😁Unataka Kusema Sisi Ni Kaya Masikini (TASAF,)
HAA HAA
Khaaa!!!!Maneno matupu bila picha hayanogi
Unatuonea bana😂Tena hasa hasa hawa CHAPUTA na KATAA NDOA.....ndo TASAF kinomanoma😁😁😁
Tena hasa hasa hawa CHAPUTA na KATAA NDOA.....ndo TASAF kinomanoma😁😁😁
Asubutuuuuuuu.....nyie wazee wa screenshots
Dude is freaking rich