Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

Ebu tuone😂
Au sio ahahha
20241116_173101.jpg
 
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.

Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.

Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.

Kwanini tena lawama ya tamaa na ulafi inakujuwa juu ya mwanamke pekee?
Kwa hiyo hizo peza unazopewaga huwa unaenda kununulia MAKALIO?
 
Back
Top Bottom