Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu wapo walio na mpunga mrefuu na hawapendi sifa🤣🤣Wanaume wa Jf ndo hawahawa maskini wenzetu wa huku mitaani😏, tofauti yao ni kuwa wako nyuma ya keyboard na simu zao na tablet za mikopo
Mfano ni Moisemusajiografii