Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.

Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.

Kwanini tena lawama ya tamaana ulafi inakujuwa juu ya mwanamke
Hata ukimtaka asiye nà makalio makubwa, kuomba pesa kuko pale pale.
Hiyo ni kwa wanawake wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…