mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
makalio ni marahisi kupata kuliko pesa
the game isn't fair.
the game isn't fair.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna chaputa mmoja hapa mtaani kapata matatizo ya macho na kipara , muda wote kuvuta hisia huku amelala chali macho juu, CHAPUTA CHAPUTA CHAPUTA. 😀Tena hasa hasa hawa CHAPUTA na KATAA NDOA.....ndo TASAF kinomanoma😁😁😁
mzee wa mjegejeHahaha hapana dadaView attachment 3154523
Mwamba anabariki chakula kabla ya kula.🙏Au sio ahahha
View attachment 3154534
Kumbe tako unalo madame😂 hongera sana kwa kumiliki nyara muhimu.Unataka wenye makalio tuanze kutukanwa 😔😔😔🥴🥴🥴
Unataka wenye makalio tuanze kutukanwa 😔😔😔🥴🥴🥴
Ukiona bibie anajiita "miss","kidosho" au kajina kepesikepesi ujue huyo ni flatscreen miaka mia nne.Madam lazima awe madam!Nimekuibia siri nilipe.Kumbe tako unalo madame😂 hongera sana kwa kumiliki nyara muhimu.
Majina yao Miss, Pretty na ya aina hio ndo matapeli kumbeUkiona bibie anajiita "miss","kidosho" au kajina kepesikepesi ujue huyo ni flatscreen miaka mia nne.Madam lazima awe madam!Nimekuibia siri nilipe.
Makalio yanaota bure, pesa tuna hustle kutafutamakalio ni marahisi kupata kuliko pesa
the game isn't fair.
Hata ukimtaka asiye nà makalio makubwa, kuomba pesa kuko pale pale.Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda pesa.
Kwanini tena lawama ya tamaana ulafi inakujuwa juu ya mwanamke
Kuwa makini utatapeliwa mkuu.Beware of conmen!Majina yao Miss, Pretty na ya aina hio ndo matapeli kumbe
Mwanamke akiendekeza roho mbaya anaishia kuwa msutaji wa wenzie.Makalio atayaona kwa wenzie tu.Amini nakuambia.Makalio yanaota bure, pesa tuna hustle kutafuta
Kwani udogo wa makalio kunahusianaje na utajiri? Kinachakuvutia kwenye manyonyo na wazungu wenzio ni nini? Matumizi ya mapaja ni nini?
Bila picha hainogiUnataka wenye makalio tuanze kutukanwa 😔😔😔🥴🥴🥴