Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

Maisha hayatafsiriwi kiurahisi namna hiyo na kwa hesabu za kitoto namna hiyo!!rudi kaa chini then utafakari upya,,Jipambanue Kwanza wewe na maisha yako,,alafu sasa ujue na upembuzi Bora wa maisha ya wengine!!
 
Ndiyo ujue sasa, serikali ndo wanaweka mfumo then wananchi wanafuata.
Ukienda China hawana matumizi ya sukari kwa asilimia kubwa, iliwekwa na serikali then wananchi wamefuata.
Umasikini wetu inachagizwa na mfumo uliopangiliwa na serikali.
Nini kifanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…