Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Ni rahisi sana kupata attention ya wabongo,

Leta ubuyu/Udaku,
Mizozo au Kiki za maisha ya watu binafsi,
Simba/Yanga,Bongo flava,
Matukio ya huruma au miujiza,

Bongo hela nje nje,ujue tu kuwashika masikio wamatumbi,
Mange kapiga sana hela na anaendelea kupiga.
 
Nyie ni wajinga, matutusa na malofa.
Huyu kahaba anawaona nyie Matahira.
Nyie ndio mitaji yake baada ya kuachika kwenye ndoa yake.
Mtu yuko nchi za mbali, tena si Mtanzania, mtu aliyeikatikia machine ya baba yake mzazi eti mnataka awape A to Z ya nchi yake
 
Kabisaa, mie nimeona hilo pia, kaamua atangaze kipindi chake, ili buku 3 hizo awe anazoa km zote.
Mange mjanja nyie khaaah.
Mange ni mjanja toka enzi za Darhotwire, kipindi ambacho alikuwa anauza connection (video chafu) kwenye channel yake πŸ™Œ

Bahati mbaya wabongo tunapenda pia gossip na umbeya, ndiyo maana anapata wafusi kila siku
 
Gran pah hadi wewe??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mange anajua kuwashika wabongo kwa kweli.
 
Gran pah hadi wewe??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mange anajua kuwashika wabongo kwa kweli.
Ilikuwa kipindi ambacho nilikuwa naona vizuri bila hii miwani ya macho, saivi Sina ujanja babu yako 🀭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…