Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Huwa nashangazwa sana na watu wanaopingwa hoja kwa kugeuza hoja iliyo mezani na kuingiza personality.Ok,
1. Kwani rais katoa kauli?
2. Lini umekuwa askofu wa RC mpaka uuseme upadre wake?
3. Rais Samia aliposema .. nanukuu.. KULIKUWA NA SIMBA WA YUDA.. mwisho wa kunukuu. Ulielewa alimaanisha nini?
Kwani JPM aliwahi kujificha?
Ok, unauliza kuhusu rais kutoa kauli mara mbili, HAYA TUAMBIE KAULI YA KWANZA ALIITOA WAPI NA ALISEMA NINI?R
Rais atoe kauli mara mbili? Yeye ameshasign na bunge limejadili. Hivyo ameshatimiza wajibu wake. Unataka ale matapishi yake mwenyewe?
Alisema kupitia bunge yaani waziri mkuuOk, unauliza kuhusu rais kutoa kauli mara mbili, HAYA TUAMBIE KAULI YA KWANZA ALIITOA WAPI NA ALISEMA NINI?
Imefanyiwa na nani? Kwamba hajui, au aliyefanya huo uhaini ana nguvu kumzidi?Kwanini Samia anakaa kimya kipindi ambocho nchi imefanyiwa uhaini?
Kuna watu wameamua kuchagua upande wa Mama kwakuwa tu ni mwenzao katika Imani, bila kufikiria hasara ambazo Nchi kama Nchi tutaingia.Big Show amedhalilisha ma-GT humu ndani, yaani imeniwia vigumu kumtofautisha na kina Steve Nyerere, Kitenge, Zembwela na yule shehe.
Vv
Na ukizingatia sa100 kajificha kweli, au mleta mada amemuona wapi siku za karibuni toka apige forsale bandari yetu.Kwani kujificha ni tusi?
Big show unaona mbali sana.
Rais Samia amejipambanua kuwa Rais Msikivu na asiependa kukumbatia kika kitu.
Juzi Mwendo kasi wa Mbalgala umezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar,lakini wakati wa magufuki tulizoea hadi Mweni kuzinduliwa na Rais,Sasa Slaa akiona Rais anawaacha wateule wake waonekane vipaji vyao anaumia.
Slaa hana Moral Authority ya kusikilizwa,kulikuwa nw katiba iloyoisgia Bunge la Katiba,Alipoingia Magufuli akatamka hana mpango na katiba,Slaa alikuwepo na alikuwa akipayuka kutetea udikteta wa Magufuli.
Leo baada ya kustaafu ubalozi akiwa na kiaka 85 bado analazimisha uteuzi kwa Rais Samia.
Hoja ya DP world isiwe kichaka cha kudharau mamlaka ya Rais,anaweza kuwekwa lock up hadi akafia huko.
Lakini Mama yetu asifanyr hivyo,maana ndicho Slaa anatafuta kwa sasa,anafanya akila jinsi kutafuta Attention .
Slaa alianza Chokochoko tangu Kifo cha Magufuli,nakumbuka akiwa sta TV akawa anatuhumu kuwa Magufuli kauwawa,bahati akakosa suport akabaki peke yake maana wananchi wameshamdharau,sasa kapata chimbo la kubwabwaja.
Rais wetu aachwe achape kazi,sasa hivi wananchi tunafuatilia kwa makini namna serikali itakavyohitimisha swala la DP world.
Na sina Shaka watalimaliza kwa maslahi ya Tanzania.
Magufuli asingejificha. Infact angetuambia wananchi kama ilivyokua bandari ya bagamoyo
Achana na historia yake, jibu hoja zake
..hapana.
..bandari ingekuwa inauzwa wakati wa Jpm yeyote ambaye angepinga angetwangwa RISASI.
..watu waliogopa kufunguliwa makesi, kutekwa, kuteswa, au kuuwawa, wakati wa Jpm.
Huyu jamaa baada ya CCM kumpa ubalozi nikajua hatathubutu kuwa yule wa zamani .
..Heshima yako na wewe.
..tuko ndugu yangu tunachangamsha barza.