Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Kama mtumishi wa umma hataki kusemwa na kukosolewa na wenye nchi yao waliomuajiri, anaacha utumishi tu, period.

Kusemwa na kukosolewa ni kawaida tuh Kwa Kiongoz,

Ila siyo Kwa mtu kaka Slaa,ambae miez kadhaa iliyopita alikuwa huko huko,Leo ametolewa huko na kukosa ulaji,anaanza kupiga kelele Kwa kauli za kashfa.
 
R
Ok,
1. Kwani rais katoa kauli?
2. Lini umekuwa askofu wa RC mpaka uuseme upadre wake?
3. Rais Samia aliposema .. nanukuu.. KULIKUWA NA SIMBA WA YUDA.. mwisho wa kunukuu. Ulielewa alimaanisha nini?
Rais atoe kauli mara mbili? Yeye ameshasign na bunge limejadili. Hivyo ameshatimiza wajibu wake. Unataka ale matapishi yake mwenyewe?
 
Raisi ni muajiriwa wetu tunamlisha na kumvalisha kwa kodi zetu anatakiwa atoke kuja kujibu maswali tunayouliza kama kazi imemshinda aseme tuajiri mtu mwingine mwenye uwezo
 
Back
Top Bottom