Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila daddie bhana lol
 
Duuuuh hatareeeeeh sana, cc Yna2 njoo soma hapa upate Elimu zaidi.
 
Tujulishe aina ya kike na kiume,yanatengenezwa yakiwa na jinsia au za kupewa na sisi.
 
Nisamehe sana kwa nililokuwazia. Usiwe na perception hiyo kwa wanawake. Upo duniani kwa sababu yupo mwanamke mmoja alikutana na mwanaume ukazaliwa. Waonyeshe heshima mkuu.
 
Unanunua gari kubwa halafu unavuta moshi wa magari ya wenzako si ubure huo.yaani ni kutembelea madirisha wazi.ukiingia kwenye gari ni vumbi tupu.
Tukija kwenye foleni tunapenya tunakuacha .
 
Hey buddy, how old are you?

The key thing is to get one you can afford to maintain and fuel given your financial status.
 
Hahahahahahah masikini Wana wivu mbaya sana

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hebu tutajie basi hayo magari ya kike na kiume ili tujue tununue magari gani wajameni
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nitajaribu kuchunguza hizo IST tuone kama lisemwalo lipo
 
Watakwambia azili mafuta.
Wanahesabu zao wenyewe wanapigaga"1lt/15km
"Alafu vile mjini parking ni shida,so ukiwa na hatchback ni rahisi kupata nafasi.

Aiwezekani kubwa zima na vinyweleo kibao kifuani alafu unang'ang'ana na Passo sijui,Ist,Vitz wakati izo ni gari za mabinti tena mabikira.
 
UPUMBAVU MTUPU! Sasa mbona anadai ulikuwa ni utani? 😳😳😳
 
Kumbe Toyota wanadesign gari fulani kwa ajili ya wanawake na design fulani kwa wanaume tuu.

Tusio na uwezo mnataka tutembelee power tillers 😠
 

Kuna wakati zijuwi huwa watu wanafukilia nn....
Ivi aliekuambia anaestahili kuendesha gari dogo ni mwanamke pekee ni nan?????
Mbna kuna vitu hao unaotaka wawe wa magari madogo wananafanya mambo makubwa zaidi ya wanaume.... chamsingi ni kipato chako ndo kitakuweka kwenye position unayotakiwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…