Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ahsante Sana... Nimecheka hapa kama fala vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea JF weyeeeeh,
 
We ni binti?
 
Halafu BAK na hapa atabisha na IST yake
 
Acheni kujipa moyo mnaendesha gari za kike dume zima huoni hati aibu unaendesha gari ya mkeo au binti wa chuo
 
Acheni kujipa moyo mnaendesha gari za kike dume zima huoni hati aibu unaendesha gari ya mkeo au binti wa chuo
Mtazamo wako juu ya jinsia yako siupingi. Hilo ni tatizo lako. Situmii gari ya mke wangu, ana gari lake na mm nina gari zangu.
 
Mtazamo wako juu ya jinsia yako siupingi. Hilo ni tatizo lako. Situmii gari ya mke wangu, ana gari lake na mm nina gari zangu.
Huwezi endesha passo halafu useme ni gari yako

Hiyo ni ya mkeo badili gari uendeshe hata tako la nyani angalau
 
Huwezi endesha passo halafu useme ni gari yako

Hiyo ni ya mkeo badili gari uendeshe hata tako la nyani angalau
Hunielewi ndugu. Nimekuambia ninazo gari zangu mm. Mke wangu ana gari yake, Nina v-shapes engine zenye horse power ya kutosha mbili. Na still hiyo baby walker naitumia pia pale ninapolazimika kuitumia esp siku ninapokuwa too busy mazingira ya mjini. Tofauti yangu mm na ww ni matazamo wa kwann tunamiliki magari. Pengine labda na maana ya neno mwanaume. Ila sikupingi as long as hizo fikra ni zako na ndivyo unavyojisikia ndani yako. Mm hisia zako hazina maana yoyote kwangu.
 
Huu uzi umenikumbusha juzi, Tulikuwa pub na dingi mmoja hivi, yeye anamiliki V8, wakati tunaendelea kunywa, akatokea jamaa mmoja akashuka kwenye IST yule dingi akaropoka "Ukiwa unaendesha V8 afu ukamuona mtu anaendesha IST unamuona kama amechanganyikiwa hivi"
...watu tulicheka balaa[emoji23][emoji23]

NB: Tuache dharau wakuu gari ni gari ilrimradi ina matairi manne na inatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…