Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

πŸ“πŸ‘†πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ‘ŠπŸ™πŸŽπŸ†’
 
Mkuu jitahidi kuandika Kiswahili angalau na sisi huku tuzielewe hoja zako vizuri. Ni ombi tu. Shukran.
sawa nakubali,

ila samahani sana, ngoja ning'ang'ane na zote mbili kama mtoa hoja πŸ’

unajua ukienda china, halafu mnajikuta mnaongea na wachina lugha ya malkia, halafu wote ni wageni kwenye hiyo lugha, basi inakuaga raha sana dah πŸ€“
 
Well explained. Bashite anapenda sifa aise!:kutunisha misuli na kujiona he can do anything. Enzi za magu kuna clip anasema ye ni mkubwaaa sana! Halafu ye mwenyewe akiongea ulimi mzito kama litahira lililopona!

Ye akiambiwa sababu ya kubadili jina kutoka Daudi kuwa Paul atasema nini. Ana abuse sana his powers/authority.

He is a complete disgace to civil service.
 
sasa tatizo hapo mbona liko wazi kabisa ni la nani πŸ’

those are weak and incapable civil servant. they must be removed from thier position imeadiatly completely πŸ’
 
πŸ“πŸ†’πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ‘ŠπŸ™πŸŽ
 
Imagine upo zako kwenye shrehe na umewaambia wife na mtoto wako wa form one wakufuatilie live ! Then RC anakutolea mfano! It was completely unnecessary.

Sio hao tu JB yule mwigizaji na utu uzima wake alikiona kwa Bashite.... Sijui kwanini serikali inamngangania huyu jamaa. Hana simile kabisa.
 
wengi tu kawadhalilisha. alimdhalililisha hata msanii JB. tena daah nilijisikia vibaya sana. mtu ambaye ni sawa na kaka yake mkubwa anayeweza kuwa (kaka baba) kwa maana amepita mbali mno kiumri. yule matako manene msenge sana.
 
Mr. English!
Maybe we perceive things quite differently. But from my point of view mr. Makonda was disrespectful to that man despite whatever he was questioning for was right.
 
Kwa CCM hizo bullying and intimidation and kila kibaya utakachokitaja ndio nyenzo muhimu za kuwadhibiti wale watu wanaohofiwa kuwa na hoja mbadala ndani ya Chama ambao wanaonekana kuwa hao ni wapinzani !!
 
Hahahahahah iyo kawaida katika kazi sio lazima Kila mtu ana furahia uwasilisani wa taarifa wa mtu mwingine
 
Wewe ni mpuuzi kama Bashite.
 
Mr. English!
Maybe we perceive things quite differently. But from my point of view mr. Makonda was disrespectful to that man despite whatever he was questioning for was right.
I like your politeness and ofcoz I respect very much your opinions....

as the country currently very focused and determined on transforming the lives of mwananchi through development programs and projects.

responsible civil servant who looks for respects rather than being respected as results of their performance on their assigned duties, are not fit to save within the government of our very able and visionary leader Comrade Dr.Samia Suluhu Hassan.

the should step aside voluntarily or wait for their performance to judge them.

there is no room to hide or escape root for irresponsible civil servant, this time round.

sympathy will completely not save them, but abilities of their performance and clear explanations on the status of what they are supervising to the public πŸ’
 
Tatizo hili likianzia kwa mwenda zake yeyenndiye chanzo
Wanasiasa wanajikuta sana pindi wakiwa wanashangiliwa
 
Mkuu,your appreciation for my politeness is a psychological blow to push me deep down to this issue.... I accept (maybe) and thanks.


You are absolutely right and lets settle this matter as per how we look into it. Thanks once more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…