Wito kwa Watanzania kumfata Sheikh wetu Ponda Issa Ponda kwa kukiunga mkono chama cha ACT wazalendo

Wabunge ccm huko ni wakina nani?

Ova
Wajamaa. Wabunge waislam hawatakiwi.

Unamjua Profesa kighoma malima

Unamjua kiwltwana London

Unajua historia yao ilikuwa hadi kuondoka bungeni au kuondolewa kwa hila bungeni
 
Ndo maana wengine wenu ni vilaza waheed
Una chagua/mfuata kiongozi sababu yeye ni wa dini Yako!!?
Taka taka kabisa 🚮 🚮
 
Punguza ujinga weweee,Sheikh ponda nilimuamini sana,Kwa hili kapotoka na wengi tunamshangaa
 
Muslim ni kiumbe mbaguzi baada ya myahudi hapa dunian. Wewe badala ya kusema ni wito wa Tanzania kufuata Sheikh Ponda
Shukran Nimekuelewa.

Kupitia nafasi hii kama admin utasoma aweze kubadili 'Waislam' kuwa 'Watanzania'
 
Maslahi ya waislam au watanzania? Au neno maslahi lina maana tofauti kwa wenzetu?
 
Sababu ni udini Mwambie na samia amfuate ponda act wazalendo
 
Huyu bwana atakuwa mbuge si kwa sababu za kidini bali kwa kutetea haki.Hahitaji nguvu kubwa kwenye kampeni zake
 
Punguza ujinga weweee,Sheikh ponda nilimuamini sana,Kwa hili kapotoka na wengi tunamshangaa
Hayo ni maoni yako ndio maana mimi niliwateuwa Waislam pekee badala ya kutoa wito kwa Watanzania

Najua matakwa yako kama ilivyokuwa ya kwangu awali ulipenda Sheikh Ponda aunge NRNE lakini baada ya kusikiliza ufafanuzi huu nikagundua njia ya ukombozi ni Ungangari. Wito huo chadema hawana kwasasa. Ngoja tuongozwe na Mzee aliyenyooka zaidi ya Lissu.




View: https://youtu.be/jRs0x2t5pqM?si=hK3na0tyI3Pz5rrY
 
Huyu bwana atakuwa mbuge si kwa sababu za kidini bali kwa kutetea haki.Hahitaji nguvu kubwa kwenye kampeni zake
Umenenena Vema. Lkn hatuhitaji tu ili mradi mpagania haki tu. Akiwa msagaji, mlevi, Mwizi, mla rushwa. Hapana. Tunahitaji wale waadilifu. Tunahitaji kupunguza walevi bungeni
 
Kama ponda anashiriki uchaguzi wa 2025 jua huyo tayari ni kibaraka wa wahalifu wa ccm ...kakuna mzalendo anaye weza kwenda kuouga kura wala kushiriki uchaguzi wa 2025
 
Kapotea huyo - mwanasiasa asiyetamka kudai Reforms huyo ni msaliti.
 
Sheikh Ponda mitano tena
Waislam mna akili finyu sana Sheikh ponda awezi kuwa mbunge hadi asuj7die sanam7 ya samia ...sababu hizi hapa ....watanzania awatashiriki kupiga kura uchaguzi 2025 na watakae enda kuoiga kura watakuwa baadhi tu ya anaccm sasa hapo ponda atashinda namna gani uchaguzi vinginevyo iwe kwa siri anatumiwa na samia hivyo kuoewa ushindi sawasawa na maagizo ya samia.
 
Wajamaa. Wabunge waislam hawatakiwi.

Unamjua Profesa kighoma malima

Unamjua kiwltwana London

Unajua historia yao ilikuwa hadi kuondoka bungeni au kuondolewa kwa hila bungeni
Hao wote nawajua
Kwa hyo wabunge huko wa ccm waislam hawatakiwi siyo

Ova
 
Kwa jinsi jamaa walivyojipanga mwaka huu vyama vinavyoshiriki
Wakitegemea kupata wabunge wasahau

Ova
 
Ndo maana wengine wenu ni vilaza waheed
Una chagua/mfuata kiongozi sababu yeye ni wa dini Yako!!?
Taka taka kabisa 🚮 🚮
Dini ni jukwaa tu la mabadiliko kama majukwaa mengine yakiwemo ya wanamuziki, wasanii wa maagizo, wanaharakati.

Isiwe nongwa kwa jukwaa la imani, lkn iwe powa jukwaa la wanamuziki kutumiwa ma ccm au chadema kutaka mabadiliko.

Hayo ni matakwa yao.

Nasi tuna matakwa yetu.

Kumbuka kwa imani yetu hata tukiuwawa tunahesabika Imani Tuliipigania. Na hivyo hatutokufa kwasababu ya chama. Laa

Ukweli kazi ya kupigania haki ni kazi za kitume (Mitume)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…