Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

Kaka paskali eee shida kubwa wwatu wengi wanazifuata dini na hawazielewi dini zinataka nini kutoka kwao.

👣..
"Umaskini wa mawazo ni umaskini mbaya kupita wote"-JKN
 
Uliowataja wote walifunga siku 40, wangekuwa Waislamu wangefunga siku 29 kwa kuangalia mwandamo wa mwezi.
 
Umekuja kujikosha baada ya Jana kuwadharau Maaskofu wa Imani yako. Nani atakuamini wewe àmbaye unadharau Viongozi wa dhehebu lako Hadi kuita Waraka wao ni kikaratasi tu? Wakati unaandika Jana hukujua haya? Au hukujua NASADIKI ina maana gani katika Ukatoliki wako?
 
Ndugu Faiza Foxy, nadhani wewe ni mtu mzima, Umungu wa Yesu unawahusu wanaohamini hivyo. Huna sababu ya kugeuza mitandao ya kijamii kuwa msikiti au kanisa. Unamdhiaki Yesu, uvumilie tutakapoanza kumdhiaki huyo mnaemuita mtume wenu!! Kama ni kujadili siasa jikiteni kwenye hoja, usijifanye unaujuwa Ukristo kuliko Wakristo wenyewe!!
 
Bwana Paskali amani ya Mungu iwe nawe, kwanza napenda kukushukuru kwa uzi wako una maana kubwa sana lakini unataka upembuzi wa kisomi na kiimsni ili kuufanya uwe na athari zaidi, kwa jinsi ulivyoundika ni kama tu kutaka kuwe na tolerance za kiimani kama utamaduni wa kuvumiliana na kustahamiliana katika tamaduni zetu za kitanzania za utani wa makabila, na kama ulivyotolea mifano yako. Lakini umeshindwa kuangalia kwa upande wa pili kuwa kuna imani zina amini kinyume kabisa na imani nyingine kutokana na mafundisho ya imani zao, hivyo tolerance iwe kwa kila mwenye imani kwa imani yake, awe mstahamilivu pindi anapoona imani yake imeshambuliwa, aidha awe na hoja ya kukinaisha kwa hao wanaopinga au wastahamili tu katika kupingwa kwao au wakubaliane na hoja za imani pinzani. Wewe ni mwanahabari tena ni msomi wa sheria unafikiri kesi hii ikienda mahakamani nini hukumu itakayotolewa?
Sisi watanzania tunayo religious tolerance toka zamani, ndiyo maana tukawa na midahalo inayofanyika baina ya waislamu na wakristo tena inafanyika kwa amani tu, na wahadhiri wote wanajuana na kuheshimiana katika imani zao.
Tujikumbushe kwenye kesi ya Hamisi Rajabu Dibagula.
 
Hii mada sikuileta mimi.


Yesu mimi ananihusu sana kwenye Imani yangu, unataka niende kinyuma na Qur'an kwa kitabu kilichoandikwa na wasiojulikana? soma:

Qur'an 5:17. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu. Sema: Ni nani mwenye kumiliki cho chote mbele ya Mwenyezi Mungu ikiwa Yeye angetaka kumuangamiza Masihi mwana wa Maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi? Na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya Mwenyezi Mungu. Huumba apendavyo. Na Mwenyezi Mungu anao uweza juu ya kila kitu. 17
 
Quran 33:50 Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wanawake wote...mabint wa Ami zako, mabint wa mashangazi zako, mabint wa wajomba zako...na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwako....DINI ya uzinzi Mtume wake akiongoza uzinzi unaileta humu?
Kijana wacha wivi mbna umeikata aya? Wewe mzungu wa kanisani huko ambae yeye kahasiwa, kakuhalalishia mmoja tu> Jisomee hiyo aya bila kukata, hujaona hapo "wake" wala "mahari"? sasa kwa mke,uzinzi otoke wapi tena? Ona haya kidogo.:

50. Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 50
 
Elewa na sisi tunaamini Yesu siyo Mungu,
sisi pia tunaamini Allah ni mhuni mmoja tu wa kufikirika kutoka kwa mpenzi wako muhammad.
ukiibuka na kusema Yesu Mungu, wakati hakuna ushahidi hata mmoja wa yeye mwenyewe kusema "mimi Mungu:, elewa kuwa unatukosea sana, kumpa mtume wetu uungu asiokuwa nao.
hakuna ushahidi ama huutaki ushahidi unaopewa!!!!naona debate nyingi za waislam waliovimbiwa futari huanza madai haya,wakipewa ushahidi wa andiko wanamrukia paul kwamba alichokiandika hawakiamini.yaani ni mwendo wa kuchezesha kalio tu sindano zikiwaingia.
Biblia inahusishwa na Yesu ambae ni mtume kwaa Waislam, kwa hiyo mimi nnahaki ku "refute" mambo anayposingiziwa Mtume wa Kiislam, kumbuka hilo.
nyinyi kenge hamna yesu mna msela mnamwita Issah,aliyezaliwa chini ya mtende.
Hilo la India litabaki india, India wako hata wanaoabudu uume wa binaadam, siyo tatizo.
ndio maana kuna kitu kuvumiliana,wewe mwenyewe unakwenda kuwa demu wa mwanao Akhera na uko unakenua tu.
Kuhusu Yesu, elewa kuwa kila mnapomzushia kitu, Waislam hatutakaa kimya, anatuhusu sana tena sana.
lazima mshoboke naye sababh yule babu yenu mbakaji wa kitoto hana mvuto kwa tendo lolote hapa duniani,zaidi ya kutembeza kia mpaka kwa mkwewe.
Panya hawatuhusu ndee wala sikio, hatuna habari nao hata wewe ukiwaabudu.

"tolerance" unayoiongelea unataka iwe upande mmoja tu?
sasa sisi tuko na Yesu,we dont give a shit about allah even muhammad,ghafla uje useme Yesu anakuhusu😂😂😂,umevuta bangi ya kalio??
Yesu siyo Mungu na hakuna popote aliposema "Mimi mungu" au "niabuduni".
unataka aseme Mungu halafu aombe ibada kma Allah!!acha ufala wewe mama.
Biblia siyo kitabu cha Mungu,
biblia sio kitabu cha Mungu,Mungu hana kitabu wewe kuku.
hata biblia yenyewe haijuwi kama inaitwa Biblia.
kajifunze kwanza maana ya biblia,inaonekana vitu simple vya msingi huvijui.
Hotolikuta neno "biblia" ndani ya biblia, ni uzushi tu.
kwahiyo ukikuta neno Quran ndani ya Quran ndio kunahalalisha uhalali wake???
 
Kwa kweli mkuu,hizi dini zinatufaa kama tukiwa watulivu na Kila Mmoja akaheshimu dini na imani ya mwenzake,kwa upande mwingine tujifunze na tuelimike zaidi,,learning about the universe and the entire solar system and the infinite galaxy.Maana hapa tuko Katikati tu ya galaxy Moja tu,milky way galaxy,then Kuna billions and billions of galaxies.Kote huko tujiulize Kuna viumbe na kama vipo vinamtazamo gani kuhusu Muumba Mmoja/Mungu.
Imani zetu za dini zinamtazamo gani kuhusu hayo,ya viumbe vingine hai kwenye galaxies nyingine.
Hapo ndio utajua kuwa dini zetu ni nyenzo tu za kutusaidia kuishi vyema kwa kadiri ya mapenzi ya Muumba wetu
 
Kama waislamu wanakufurahisha mkuu kwanini usihamie huko? tuache wakristo tuendelee na misimamo yetu, Pascal kwanini kila siku unazidi kuwa mtu wa hovyo sn? naona sahivi una vita RC mimi ni KKKT lakini siwezi kuwa mpuuzi kiasi chako
 
We ajuza ni mjinga sn, wakristo wapo mbali sn ukilinganisha na uislamu wako nikupe makavu mjinga wewe, nitajie muislamu hata mmoja tajiri ukitoa waraabu na wahindi, hakuna hata hospitali ya maana wala shule za maana ni ujinga tu unakusumbua wewe ajuza
 
Ni mpumbavu pekee anaweza kuukosa ule waraka na wakati umechambua mambo mengi sn mpk ajira za watanzania na wakatoa na ushauri
 
Well said
 
Uzinzi uko pale pale, Quran 2:223 wanawake ni konde zenu, zieendeeni konde zenu kama mpendavyo. Tafsir ya Jalladin Suyut juzuu 3 ukurasa 930 inasema: Seyyidna Umar bin Katab alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma. Dini ya uzinzi unaileta humu?
 
Si tumekubakliana ni watu wawli tofauti Sasa YESU anaingiaje kwenye Quraani na ISSA anaingiaje kwenye Biblia
 
Imani zetu za dini zinamtazamo gani kuhusu hayo,ya viumbe vingine hai kwenye galaxies nyingine.
Hili ni swali zuri sana mbona viongozi wa Dini hawajibu haya maswali wakati ambao hivi viumbe vieanza kushambulia vyombo vya anga vya Mwanadamu.

Na unasemekana vimeingia hadi chini ya Bahari zetu na kujiandaa kuiteka Dunia na pengine kuua Wanadamu wote hapa Duniani au kutufanya Watumwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…