Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

Ma-CIA na ma- MI6 yamefanikiwa kwenye suala hili, na sisi tulivyo ma mbumbumbu tumeingiza dini kwenye elimu!
Hili suala litaleta shida sana kwenye jamii wewe subiri utakuja kunikumbuka. Serikali imefanya jambo la kipimbi sana kuchanganya dini na elimu.
 
Kwa kuwa watoto wanakaa mashuleni muda mrefu,

Wafundishe kuhusu Mungu tangu msingi.

Naunga mkono HOJA 🙏
Hujaelewa hoja hata kidogo mkuu.Hebu rudia kusoma uzi na kusikiliza video upya.
 
Shuleni ndipo wanakusanyika wote, maana Si Kila mtoto huenda nyumba hizo.

By the way, Kanisani ni siku moja pekee, shule siku SITA.

Wakifundushwa BIBLIA huko, Nuru itangara Kwa vizazi vyetu.
Mkuu umesikiliza video kwenye uzi? Hebu sikiliza video kwanza halafu urudi kuchangia.
 
Kwa kuwa watoto wanakaa mashuleni muda mrefu,

Wafundishe kuhusu Mungu tangu msingi.

Naunga mkono HOJA 🙏
Kwani watoto wote lazima wafundishwe uislamu au ukristo? Je, wale wanaofuata dini za asili na uhindu huoni watakuwa hawajatendewa haki? Sikiliza vedeo kwenye uzi. Umekurupuka kujibu hoja kabla ya kusikiliza video mkuu.
 
Kwani watoto wote lazima wafundishwe uislamu au ukristo? Je, wale wanaofuata dini za asili na uhindu huoni watakuwa hawajatendewa haki? Sikiliza vedeo kwenye uzi. Umekurupuka kujibu hoja kabla ya kusikiliza video mkuu.
Hakuna HOJA hapo.

Masomo ya Divinity na yahusuyo kumjua Mungu mashuleni yarudishwe.

Na wote mnaopinga, mnaongozwa na shetani mwenyewe.
 
Hakuna aliyekataza hizo dini kufundishwa huko makanisani na misikitini. Shule za sayansi na elimu dunia yote ni shughuli ya shule za maswala ya hapa duniani.
Serikali haina wajibu wowote kuingiza dini kwenye elimu.
Kweli kabisa mkuu. Misikitini na Makanisani ndimo dini inapaswa kufundishwa, sio kwenye shule za umma. Ina maana serikali haiamini kuwa watu wanaweza kupata elimu ya dini kwenye makanisa na misikiti hadi ianze kufundisha dini yenyewe mashuleni? La hasha! Ni upumbavu wa hali ya juu sana serikali kukubali maoni ya Mama Samia na waarabu wake kuingiza dini mashuleni.
 
Sasa unataka kulazimisha watu wajishughulishe na dini. Dini ni hiari ya kila mtu.
Mkuu 'Rabbon', leo vipi teana?
Ni hiari wakati unaona wamelazimisha kila mwanafunzi asome dini mkuu? Uko serious kweli au unatania?
 
Serikali ya CCM inapenda kuchanganya elimu na dini ili kuwafanya wasomi wawe waoga kuhoji mambo ya msingi na kuwaachia mafisadi waendelee kuguguna rasilimali za umma. Hii ni mbaya sana.
Sana
 
Kwa ninavyoelewa mimi, dini ni mfumo wa maisha wa jamii fulani. Hata ukisoma vitabu vya dini humo ndani utakuta historia ya jinsi jamii fulani ilivyoishi, vitu walivyoviamini, viongozi wao, mashujaa wao, vyakula vyao, sheria zao, changamoto walizopitia na jinsi walivyozitatua nk.

Kwa kifupi dini ni MILA na DESTURI za jamii fulani.

Sasa ni kitu cha kushangaza sana kuona MILA na DESTURI za jamii nyingine kuingizwa kwenye ELIMU YA JUU ya nchi nyingine!

Na ni kitu cha ajabu zaidi kuona MILA na DESTURI za jamii zetu za kiafrika hazijawekwa kwenye tahasusi HATA MOJA!
 
Huyu mama hawa waarabu na waislamu anaowakumbatia ipo siku watamtokea puani. Bahati mbaya ni kwamba wanaofundishwa hayo masomo ya kipumbavu ni watoto wa wakulima tu.

Kwa kuwa wao watoto wao wanasoma Ulaya hawaoni haya kuharibu kizazi cha watoto wa wakulima kwa kuwajazia masomo ya kipumbavu kwenye mitaala ili kuwapotezea muda wa kupata maarifa sahihi na kuelimika.

Hii nchi inapoelekea itakuja kuzuka vita kali sana kati ya makabwela na mabwanyenye yanayotafuna rasilimali za umma wakavimbiwa na kuharibu kizazi cha makabwela kwa makusudi.

Wewe muache Bi Tozo akiharibu kizazi cha walalahoi lakini akumbuke hata wajukuu zake hawatabaki salama. Watakuja kupigwa mapanga wakatwe vichwa vikatupwe baharini miili yao iliwe na papa.
 
Kumjua Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mashuleni kuna Bible Studies na Islamic Studies, masomo haya yali/natosha kumpa mwanga mwanafunzi kuhusu imani yake. Haya mnayoleta ninyi ni dini. Kitu ambacho ni upumbavu tu.
Sasa kama ni hivyo kwanini wawapotezee watoto muda kuwasomesha masomo ya kipumbavu wakati hayana msaada kwao? Masomo yaliyopo tayari ni mengi na yamewaelemea wanafunzi. Wanaona hilo halitoshi wanawaongezea tena masomo ya kipumbavu ambayo hayana mwelekeo wowote. Wee unaona hilo ni sawa au nawe unajitoa ufahamu kwa makusudi?
 
Kwani huko misikitini haya mambo hayafundishwi hadi yafundishwe shuleni au huko misikitini mnafundishana kulawitiana tu?
 
Sasa hapa unaongea nin mkuu? Kuelewa asili ya imani kuna manufaa gani kwa mwanafunzi wa kitanzania kama sio kumrundikia masomo yasiyokuwa na kichwa wala miguu? Hivi unajua kuwa serikali haina dini?
 
Waalimu wa Kufundisha mambo yanayotuzunguka tunashindwa kuwalipa na wengi wapo mtaani wanakosa ajira...,

Leo hii tunataka kupata wengine wafundishe mambo ambayo huyo wanayemuamini ana nguvu kuliko kitu chochote ?, Kwanini huyo mwenye nguvu asi-upload hizo information directly kwenye vichwa vya wanamuamini mpaka atumie proxy / third party ?
 
Huna hoja mkuu. Dini ndio zinabadilisha maadili ya wanafunzi? Si wanafundishwa somo la Uraia na Maadili? Hebu kaa chini utulie unywe maji halafu uskilize video kwenye uzi kisha urudi kuchangia hoja.
 
Mkuu dini kama somo zilikuwa zinafundishwa kwenye seminari za kikristo na kiislamu tu. Sijawahi kuona kipindi cha dini kinafundishwa kama somo hadi kikaingizwa kwenye ratiba ya masomo kwenye shule za umma. Kama unafahamu shule ya umma iliyokuwa inafundisha somo la dini naomba uitaje hapa. Rudia tena kusoma uzi na kusikiliza video utaelewa.
 
 
Acha ujinga mkuu. Wewe unaona ni sahihi wanafunzi kurundikiwa haya masomo ya kipumbavu wakati masomo yalipo tayari yamewalemea? Hivi hawa waarabu na dini zao mnaowakumbatia wanawapa nini? Tatizo nyie waislamu mnakubali kila kitu kutoka wa waarabu, hadi ushoga, halafu mnataka kuupandikiza kwa watoto wetu. Hatutakubali upumbavu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…