Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

Sasa unataka kulazimisha watu wajishughulishe na dini. Dini ni hiari ya kila mtu.
Mkuu 'Rabbon', leo vipi teana?
Kule bungeni wanakoshika BIBLIA na vitabu vingine kuapa,

Kwa kufanya hivyo Huwa wanajishughulisha na Dini?

Ifike Mahali watu waweze kutofautisha Dini na Imani.

Dini na Imani ni vitu viwili tofauti.
 
HATUTAKI MTUGAWE KIDINI
 
Kule bungeni wanakoshika BIBLIA na vitabu vingine kuapa,

Kwa kufanya hivyo Huwa wanajishughulisha na Dini?

Ifike Mahali watu waweze kutofautisha Dini na Imani.

Dini na Imani ni vitu viwili tofauti.
HATUTAKI MTUGAWE KIDINI TUMEGOMA
 
Mimi nataka kujua hao "wataalamu" wa mambo ya dini tutakaowazalisha kutokana na kufundisha tahasusi hizi mpya katika elimu ya juu, wanaandaliwa kuja kufanya kazi gani na watatatua changamoto gani katika jamii?
 
Vizazi havitapata faida yoyote kwa kufundishwa hayo masomo, zaidi vitaendelea kuwa dumavu.
Nuru ya uhakika ni sayansi na teknolojia.ce
W/tnz ni doule face hamtak somo la dini ajabu hampig kelele vp mtazibiti mikakat ya wanao eneza ushoga na usagaji mashlen au mmesha kubali yawafke tu
 
HATUTAKI MTUGAWE KIDINI TUMEGOMA
Mungu ni Hana limits.

1. Ijumaa, JUMAMOSI na Jumapili kwenye nyumba za Ibada ataabudiwa.

2. Maofisini lazima aingie Mungu Ili watu waache kupokea RUSHWA.

3. Mashuleni lazima Mungu aingie Ili kusaidia watoto wetu wawe na HOFU ya Mungu, wajue dhambi ni nini, wakatae USHOGA, wizi, kutotii nknk wawe wema.

4. Mungu lazima aingie Bungeni Ili wabunge wasimamie HAKI na kuhakikisha wananchi wanapata HAKI Yao, wanapata mgao katika cake ya Taifa, nknk

5. Mungu aingie IKULU, Ili Mahali hapo pasigeuzwe pango la WANYANG'ANYI Bali pawe Mahali Patakatifu, maslah ya nchi yatangulizwe mbele.

6. Mungu aingie Kwa wavuvi, Baharini, ziwani na katika mito, Samaki waongezeke, wajue UVUVI haramu ni DHAMBI, waache uchawi Ili Ajali majini zipungue.

7. Mungu aingie migodini, wajue Mungu ndiye mwenye madini yote, waache kuua albino Kwa Imani mbovu, wajue Mungu yupo na wamtegemee, wasikwepe Kodi, Amani itawale, mashimo Yao yateme.

8. Mungu aingie mashambani, Ili mvua zije Kwa wakati, mazao yapatikane, chakula kuwepo Cha kutosha nchini, majanga yaondoke.

Mungu Si jini wa kufungiwa kwenye chupa pekee, Mungu Hana mipaka, tumkaribishe katika sekta zote.

Naunga mkono Divinity,mafundisho mashuleni ya Imani juu ya Mungu Mmoja yafundishwe mashuleni.

Amen

Umeelewa?
 
Hata katika vitabu hivyo vinavyofanana kuna baadhi ya mambo hayafanani kwa mfano amri kumi za Mungu kwa mujibu wa biblia ya WASABATO ni hizi hapa:

Na amri hizo hizo wa mujibu wa biblia ya WAKATOLIKI ni hizi hapa:

Mkuu umeona hizo tofauti? Sasa wale wapumbavu wanaoshabikia serikali kuchanganya dini na elimu hebu waje hapa watuambie ni biblia ipi itakayotumika kufundisha hizi amri kumi za Mungu.
 

Attachments

  • 1715424547247.png
    14.9 KB · Views: 1
Reactions: RMC
Nitajie nchi moja tu ya kiarabu ambayo ushoga au zinaa tu inaruhusiwa? Na nitajie nchi moja tu isiyokuwa ya kiislamu ambayo zinaa hairuhusiwi na ushoga?
 
Mimi nimesoma kama somo katika shule ya serikali na nimefanyia mtihani wa Taifa level zote ordinary na advanced level....shule ni Benjamin William Mkapa
 
Wewe mlokole mavi, umeandika pumba tupu, gazeti lote kama misa ya usiku
mnaendelea kushoboka na hio barua ya uwongo kenge nyie
sema ukweli, wewe unarafiki waa kiislamu???? Hauna ndio ukweli
Na huu ni ukweli, mimi sina na wala sikuhitaji kuwa na rafiki wa kikristu sababu mbeleni kwenye maisha hatutaenda sawa wala maongoezi na pia way of life ni tofauti mno na urafiki na mahusioano hayatakuwa sawa, na hata tuliosoma kuanzia msingi mpaka sekondari wengi wa wakristo niliosoma nao nimeona wamekuwa karibu na wakristo wenzao mbeleni na pia kwa waislamu ni hivyo hivyo
 
Huna hoja mkuu. Dini ndio zinabadilisha maadili ya wanafunzi? Si wanafundishwa somo la Uraia na Maadili? Hebu kaa chini utulie unywe maji halafu uskilize video kwenye uzi kisha urudi kuchangia hoja.
Uraia na Maadili inaishia level ya primary hata baleghe bado...kuanzia O level na advance hakuna hilo somo la uraia na Maadili na ndiyo sehemu ambayo vijana wanabadilika sana....hebu Taja hiyo shule yako secondary inayofundisha uraia na Maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…