Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

Uraia na Maadili inaishia level ya primary hata baleghe bado...kuanzia O level na advance hakuna hilo somo la uraia na Maadili na ndiyo sehemu ambayo vijana wanabadilika sana....hebu Taja hiyo shule yako secondary inayofundisha uraia na Maadili
Maadili yanafundishwa kupitia somo la CIVICS au wewe unajua Civics ni nini? Huko shule ulienda kusomea ujinga?
 
Mimi nimesoma kama somo katika shule ya serikali na nimefanyia mtihani wa Taifa level zote ordinary na advanced level....shule ni Benjamin William Mkapa
Hilo somo lipo kwenye ratiba ya vipindi? Linafundishwa shule zote za umma? Acha kutetea ujinga mkuu.
 
W/tnz ni doule face hamtak somo la dini ajabu hampig kelele vp mtazibiti mikakat ya wanao eneza ushoga na usagaji mashlen au mmesha kubali yawafke tu
Kuna mtaala wa kueneza ushoga mashuleni?
Na nikuulize, vipi kuhusu takwimu za watoto wanaolawitiwa madrasa na kwa makasisi?
 
Eeeh, sasa wewe unanipinga ama uko nami?
 
Hilo somo lipo kwenye ratiba ya bvipindi? Linafundishwa shule zote za umma? Acha kutetea ujinga mkuu.
Ulisema ataje shule ya umma inayofundisha hayo masomo nimekutajia moja.....kama unataka nyingine ni hizi Azania,Kisutu,Tambaza,Jangwani,Kibasila,Temeke,Dar es salaam secondary etc....hizo zote ni za serikali na somo lipo katika ratiba ya vipindi kabisa...Hakuna anayetetea ujinga hapa
 
Maadili yanafundishwa kupitia somo la CIVICS au wewe unajua Civics ni nini? Huko shule ulienda kusomea ujinga?
Civics based on Uraia mkuu....na sio maadili hakuna somo la uraia na maadili katika level ya secondary....halafu Acha kejeli tujadili mada kistaarabu hakuna mtu ambaye hawezi kutukana humu
 
Hakuna HOJA hapo.

Masomo ya Divinity na yahusuyo kumjua Mungu mashuleni yarudishwe.

Na wote mnaopinga, mnaongozwa na shetani mwenyewe.
Wewe hoja yako ni ipi? Kwa hiyo unataka misikiti na makanisa yafungwe ili serikali ifanye kazi hiyo ya kiroho?
 
Mama Samia analazimisha kuislimisha nchi kwa msukumo wa warabu. Njaa itamuua.
 
Kule bungeni wanakoshika BIBLIA na vitabu vingine kuapa,

Kwa kufanya hivyo Huwa wanajishughulisha na Dini?

Ifike Mahali watu waweze kutofautisha Dini na Imani.

Dini na Imani ni vitu viwili tofauti.
Dini na imani unawezaje kuvitenganisha mkuu?
 
Dini na imani unawezaje kuvitebganisha mkuu?
Waeza kuwa na dini usiwe na IMANI.

Waingiao Mbinguni ni wenye Imani katika kristo Yesu, Si dini.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.

Amen
 
Ninakubaliana nawe moja kwa moja kwamba hili la shule kufundisha dini limetoka kwa huyo mwanamke.
Na jinsi nchi hii ilivyo, hakuna wa kumkatalia wazo la kijinga kama hili.
 
Ni hiari wakati unaona wamelazimisha kila mwanafunzi asome dini mkuu? Uko serious kweli au unatania?
Hukuelewa kilicho andikwa hapo. Soma kwanza maoni ya aliyejibiwa, mkuu 'Rabbon', utaelewa jibu langu linahusu nini.
 
Kule bungeni wanakoshika BIBLIA na vitabu vingine kuapa,

Kwa kufanya hivyo Huwa wanajishughulisha na Dini?

Ifike Mahali watu waweze kutofautisha Dini na Imani.

Dini na Imani ni vitu viwili tofauti.
Mimi nakataa maigizo ya aina yoyote yasiwemo katika shughuli za serikali yetu. Hizo Biblia/Quaran wanazoshika hao watu ni maigizo, iwe ni imani au dini, hilo kwangu halina maana.
Nielewe vizuri hapa, sijasema popote kuwa haitakiwi mtu kufuata dini au imani yoyote anayotaka mwenyewe; iwe ni maigizo ya kuwafurahisha watu walio karibu naye, au iwe kweli ni kufuata imani aliyo nayo moyoni mwake. Hayo ni yake mwenyewe na Mungu wake.
Mambo yote hayo inajulikana yanapopatikana - makanisani na kwenye misikiti, siyo serikalini au huko kwenye Bunge.

Huu ni upumbavu wa ajabu sana ulioingizwa katika elimu yetu.
 
pamoja na kwamba umenitukana, mimi sitakutukana, kwangu mimi kutukana ni dhambi. wewe dini yako, hiyo inayokufanya usiwe rafiki na wakristo, ndio inakufundisha uwe na matusi hayo, wala sikushangai kwasababu sikutegemea kitu chochote chema kitoke kwako. wacha tu watakaosoma watathmini kati yangu mimi na wewe nani anamwabudu Mungu mzuri, huyo wako wa matusi na huyu wangu asiyetukana. Mungu akusaidie.
 
Shuleni ndipo wanakusanyika wote, maana Si Kila mtoto huenda nyumba hizo.

By the way, Kanisani ni siku moja pekee, shule siku SITA.

Wakifundushwa BIBLIA huko, Nuru itangara Kwa vizazi vyetu.
Ni kama nimekosoma hivii ila kwa lugha ya ngumu unatakiwa uwe na akili kuelewa unachomaanisha , kwamba si umeamua iwe hivyo sema suuu sie tupo nyomi tuchapane ile nchi ikae vizurii tuwe na adabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ni kama nimekosoma hivii ila kwa lugha ya ngumu unatakiwa uwe na akili kuelewa unachomaanisha , kwamba si umeamua iwe hivyo sema suuu sie tupo nyomi tuchapane ile nchi ikae vizurii tuwe na adabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
Uchaguzi ujao kura zitapigwa Kwa mlengo huo,

Na battle ground ni Kanda ya maji mengi baridi.

Na Mlawi ataingia kurudisha familia kwenye line.

Tusubiri!!
 
Kafe mbele huko na dua zako
 
Uchaguzi ujao kura zitapigwa Kwa mlengo huo,

Na battle ground ni Kanda ya maji mengi baridi.

Na Mlawi ataingia kurudisha familia kwenye line.

Tusubiri!!
Ila tulishasema 2025 haendi mtu vinginevyo tutandike jamvi Temeke tuimbe Tenzi
 
Mimi nataka kujua hao "wataalamu" wa mambo ya dini tutakaowazalisha kutokana na kufundisha tahasusi hizi mpya katika elimu ya juu, wanaandaliwa kuja kufanya kazi gani na watatatua changamoto gani katika jamii?
Haya maislamu ndio yanakazana kutuletea use.nge huu katika nchi hii. Yakiishiwa hoja utaona yanakimmbilia kwenye dini. Sijawahi kuona majitu ya ovyo kama haya hapa ulimwenguni. Yanalazimisha watoto wetu wapotezewe muda kusoma masomo ya dini ili iweje? Hukawii kusikia yanaanzisha vita ya jihad. Mapuuzi kweli!
 
Na makanisa na misikiti yatafanya kazi gani mkuu? Au unataka yageuzwe kuwa shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…