Hapo Kila Mtu Atauchukua Mzigo Wake Mwenyewe



Anzeni Kupiga Nyungu, Limao, Barakoa, Tangawizi, Epuka Mikusanyika,
 
Kumekucha,kumekujwa
 

Attachments

  • 1674402766700.jpg
    39 KB · Views: 4
Mbona mjane wa Membe amezungushiwa utepe asigusane na watu wengine?
 
NATURE NA KIAFYA HUSHAURIWA UONAPO UNAKIKOHOZI UVAE BARAKOA NA USAFI WA KUNAWA MIKONO MARA KWA MARA IWE JADI YETU KWANI NI KWA AJILI YA AFYA ZETU NA SI LAZIMA WIZARA YA AFYA IKAE IKITUFUNZA YALEYALE KILA SIKU KWANI NI FEDHEA KWA JITU ZIMA KUFUNZWA KANUNI ZA AFYA KILA SIKU, "ENDAPO UNA MAFUA VAA BARAKOA KULINDA WENGINE" HATA ULAYA NDIVYO INAVYOSHAURIWA, PIA UNAPONAWA MIKONO NIKUZURI KWA AFYA YAKO!
 
Hivi Tanzania kinachoua watu maarufu huwa ni Corona tu??
Mtu akifa ghafla kwa dalili hizi: Kubanwa kifua, kushindwa kupumua, kukosa nguvu, mafua, kikohozi, maumivu ya mwili. Tunajua ni korona tu. Au wewe ungesemaje
 
Kweli mzee ukiondoka wewe Jamii forum itatikisika
Mungu atuepushe na hili janga
 
Kweli mzee ukiondoka wewe Jamii forum itatikisika
Mungu atuepushe na hili janga
Je zamani watu walikuwa hawafi kwa shida za kifua kama kifaduro Jamii ya pumu kali na mengineyo? Je rate ipo kiasi gani au kasi ya vifo!, wapo ambao wapo kwenye dose za arv kwa muda mrefu na nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…