Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji
Nyungu season 4 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
images - 2023-05-14T185802.751.jpeg
 
View attachment 2621669
Kuhusu tetesi za uwepo wa #COVID19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la??

Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe 6 - 12 Mei 2023 Watu 6 kati ya 288 walithibitishwa kuwa na corona. Hii ikiwa ni pungufu ikilinganishwa na wiki ya tarehe 29/04/23 hadi 05/05/23. Hakuna kifo chochote kilicho thibitishwa kusababishwa na UVIKO-19

Wizara @wizara_afyatz inaendelea kufuatilia kwa karibu kwenye hospitali mbalimbali na tutawapa taarifa kamili.
Nawaomba wananchi muendelee kuzingatia kanuni za Afya na Usafi.#MtuNiAfya #afyayanguwajibuwangu
Hakuna kitu Kama hicho. Ndumba na karma itawamaliza. Hadi waende wakatubu CHATO.

Who is next Loading.......
 
Hivi. Inapotokea mtu akafq Kwa maralia mbona watu wanaona kawaida wala hawashutuki kuchukua tahadhari kama Corona. Hii Corona ni nini
 
Unavyokutaja kwa Kujiamini hasa huko Ulaya utadhani umeshapakanyaga wakati kumbe tuko Wote tu hapa Kimbiji Mkoani Pwani huu mwaka wa 40.
HAHAHA, NAWA MIKONO KILA MARA UWAPO NA MAFUA YA CHAFYA VAA BARAKOA KWANI NI USTAARABU MZURI.
 
Jamii imeanza kustuka aisee.

Kuna unreported cases zinajiri kwa kasi kubwa huku mitaani.

Baba yake rafiki yangu tunamuaga leo kafariki kwa tatizo la upumuaji
Sisi tuna misiba miwili leo,yote kifua kupumua
 
Sisi tuna misiba miwili leo,yote kifua kupumua
Mungu aingilie kati kutuepusha maana nchi haina uongozi bora kwa sasa.

Wamepambana na marehemu JPM na kuacha mambo ya msingi. Teuzi zimefanyika ili kumprove mwendazake alikuwa wrong. Sasa tumebakiza kuishi kwa matumaini
 
Back
Top Bottom