Hakuna kitu Kama hicho. Ndumba na karma itawamaliza. Hadi waende wakatubu CHATO.

Who is next Loading.......
 
Hivi. Inapotokea mtu akafq Kwa maralia mbona watu wanaona kawaida wala hawashutuki kuchukua tahadhari kama Corona. Hii Corona ni nini
 
Unavyokutaja kwa Kujiamini hasa huko Ulaya utadhani umeshapakanyaga wakati kumbe tuko Wote tu hapa Kimbiji Mkoani Pwani huu mwaka wa 40.
HAHAHA, NAWA MIKONO KILA MARA UWAPO NA MAFUA YA CHAFYA VAA BARAKOA KWANI NI USTAARABU MZURI.
 
Jamii imeanza kustuka aisee.

Kuna unreported cases zinajiri kwa kasi kubwa huku mitaani.

Baba yake rafiki yangu tunamuaga leo kafariki kwa tatizo la upumuaji
Sisi tuna misiba miwili leo,yote kifua kupumua
 
Sisi tuna misiba miwili leo,yote kifua kupumua
Mungu aingilie kati kutuepusha maana nchi haina uongozi bora kwa sasa.

Wamepambana na marehemu JPM na kuacha mambo ya msingi. Teuzi zimefanyika ili kumprove mwendazake alikuwa wrong. Sasa tumebakiza kuishi kwa matumaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…