Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
- Thread starter
- #41
Hakika bongo nyoso kwelikweli.
Yaani unaniibia na unanieleza faida ya kuibiwa na kunifanya sina akili hata kidogo.
Skiza.
Unapokuja jukwaani kutetea ujinga mnaoufanya huko, jifunze kuwa huku kuna wataalam wa kila aina. Uongozi siyo incentive ya kuongeza kipaji bali ni dhamana hivyo usijifanye una akili kutuzidi.
Mnaposhindqa kusimamia fedha za umma na mnafikia kukwapua hata kidogo cha wananchi huku mkihakikisha mnaminya mianya muhimu ya kupata fedha msidhani hao wananchi ni wajinga
Tunachokijua ni kwamba mnampa ushauri mbaya Rais wetu ili tumchukie hivyo kurahisisha agenda zenu za kipuuzi.
Kama mnataka kuonesha uzalendo punguzeni mishahara yetu na marupurupu kwa asilimia 50% kisha mje kukwapua zetu.
Masnitch wahed
Haya ni makasiriko, siyo hoja.