Wizara ya Fedha inamsaidia sana Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo


Haya ni makasiriko, siyo hoja.
 
Nasikia huko kwenye bonds benki kuu bei haikamatiki. Sababu zinaweza kuwa mbili - maeneo mengine ya biashara yamekuwa finyu na/au bot wanaota hati chache kwenye mnada na kusababisha upungufu wa makusudi. Kama hali itaendelea hivyo yawezekana vyanzo vya mapato ya serikali yakazidi kusinyaa kwa kupungua wigo wa uzalishaji. Kama sababu hizo sio porojo ni vizuri Waziri Mwigulu alitupie jicho lake hata suala hili ili kieleweke.
 

Huu ndio mwenendo mzuri wa kujadiliana. Unaeleza unachofikiri, unatoa tahadhari mwisho unapendekeza cha kufanya.
Safi.
 

Sidhani kama Mwigulu anaelewa haya mambo uliyoandika!!!! Ni mtupu sana ingawa anajinasibu kuwa ana Ph.D!!!
 
Sawa mkuu. Hoja yako ni ipi?

Hoja ni hivi serikali imeshindwa kuendesha nchi hali ya kiuchumi ni ngumu kwa wananchi walio wengi karibia kila kitu kimepanda bei. Yaani kila kitu nimesoma huko dsm wanalalamika chips nazo zimepanda bei.
Chuki katika jamii imeongezeka kutokana na ugumu wa maisha ulioletwa na huyu chief.
Mauaji ya ajabu ajabu katika jamii mf yule mama wa geita kunywesha sumu watoto na yeye pia kunywa sumu. Dodoma huko familia nzima imeuliwa, mwanza huko watu3 wa familia moja wameuliwa, sehemu nyingine mtoto kamuua mzazi, kuna mtunaye juzijuzi huko usariver aliuliwa kisa sijui elfu2.
Matukio ya watu kujinyonga nayo yanaripotiwa karibia kila siku .
Wapumbavu kama nyie mnaleta mapambio yenu ya kipuudhi
Hivi nyie mnaoposti mauongo ya kwamba nchi inakwenda vizuri mtakuwa labda hamuishi tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…