Green battle
Member
- Jun 11, 2016
- 73
- 68
safiKuna dogo wiki imepita kakwapua simu ya dada anapita barabarani dogo alikuwa anaendesha pikipiki bahat mbaya pikipiki imeyumba imeanguka
Wamepiga mpka jamaa akiguswa kifua anatema damu puani na mdomoni sjui wamemvunja nini ndani pikipiki yake wameichangua changua imebaki bomba
Ila dogo kafa
Hujasikiliza hotuba ya Mama wewe wakati anazindua kiwanda cha ushonaji cha Polisi. Maana yeye mwenyewe analalamika halafu wewe unapinga! PUMBAVU!!Uongo, mataga mkubwa wewe
Anzisheni sungusungu acheni umwinyiPolisi wekeni utaratibu wa kufanya doria za mitaa iliyo karibu na vituo vya polosi.
Jeshi letu lina magari ya kisasa lkn utaona doria zina fanyika mijini tu lkn pembezoni mwa mji hakuna doria, huu ni uzembe.
tuipende kazi zetu
Kalalamika kuhusu ujambazi lkn mtoa post anazungumzia wizi ambao na uvunjaji ..hakuna polisi atakayekuja kulinda usiku mtaani kwako ndio maana mtaendelea kuibiwa kwa umwinyi wenuHujasikiliza hotuba ya Mama wewe wakati anazindua kiwanda cha ushonaji cha Polisi. Maana yeye mwenyewe analalamika halafu wewe unapinga! PUMBAVU!!
Kwa nini ushindwe kulinda nyumba yako,au wewe mwenyewe kujilinda,kwa kuchukuwa tahadhari zote,unasubiri nani akulinde kama sio wewe,mwenyewe ndio mlinzi wa kwanza wa kujilinda.Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Ulinzi unaanza kwa wewe mwenyewe kwanza,vipi unakwenda msikitini na kuacha pikipiki ovyo,wakati hata viatu msikitini vinaibiwa.Uislamu,umesema wazi,jisaidie na Mungu,naye atakusaidia.Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Sasa mkuu pikipiki angeingia nayo ndani msikitini boss , mbna unacomment kama umekatwa kichwa ndugu ...!!Ulinzi unaanza kwa wewe mwenyewe kwanza,vipi unakwenda msikitini na kuacha pikipiki ovyo,wakati hata viatu msikitini vinaibiwa.Uislamu,umesema wazi,jisaidie na Mungu,naye atakusaidia.
Yaani kutaja tu mkoa wenye tatizo umeona ni siri?Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Tutatampa miaka 4 Ila asiitoe nchi kwenye uchumi wa kati na kuirudisha kwenye umaskini,aipandishe zaidiMama bado anaweka mambo sawa tumpe muda.
Hata mama mwenyewe kakiri wizi umeongezeka,au wewe unaona anajichafua mwenyewe?Hizi report za wizi zina lengo moja tu la kumkosoa mama utendaji wake utadhani mama kawaambia polisi waache kufanya kazi zao.
Lakini huu wizi ulikuwepo sana tu hata kipindi mama hajachukua nchi,
Kipindi hicho nimeibiwa mara tatu,, na jirani yangu mmoja hata sihesabu ni mara ngapi maana amelalamika mara nyingi sana lakini sijawai yaleta humu jf. Na ilikuwa si story mitandaoni kama sasa,, hizi report za kila unapotokea wizi kuibuka mitandaoni kwa kasi zina lengo moja tu ,,,,legacy,,
Nasikia mu7 kaandaa kongamano la legacy huko,, wazee wa legacy please jielekezeni huko.
Hauki serousKwa nini ushindwe kulinda nyumba yako,au wewe mwenyewe kujilinda,kwa kuchukuwa tahadhari zote,unasubiri nani akulinde kama sio wewe,mwenyewe ndio mlinzi wa kwanza wa kujilinda.