Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Washakupiga hao, na kwa muda uliotumia gari watakukataa, huwez kuwafanya chochote
Nimefika na tumekagua, hakuna kilichoharibiwa wala kuonekana kilikatwa au kuchomelewa, bali ni muffler ndio imechoka, na imeanza kupiga kelele. Muffler niliyonayo iliwekwa baada ya ile iliyokuja na gari kuchoka. Ikatafutwa nyingine inayoshabihiana. Wanakata halafu wanaunga 'mpya' kwa kuchomelea.
 
injini itapasukaje na wewe wakati wenyewe ndio wameweka rpm hiyo?
Wamekuwekea Revolution per Minute Gauge ili uweze kufahamu kama rotation ni kubwa kiasi gani na uepuka madhara ya kupasua engine au ni muda gani ubadili gear. Pia uweze kubalance matumizi ya mafuta.

Mfano kwa gari ndogo kuanzia 7,000 na 8,000 ina alama nyekundu ikiwa ni ishara kwamba mzuguko ukiwa mkubwa kiasi hicho parts za gari zinapata moto na kadri mzunguko unavyozidi ndo moto unazidi.

Ukizungusha engine na rpm ikafika mwisho kuna uwezekano mkubwa ukapasua engine.

Naona hukunielewa na labda pia wewe mwenyewe binafsi hujui kazi ya RPM Gauge.

Sent from my Redmi S2 using JamiiForums mobile app
 
Mafundi wa magari maswali yangu mbona sijibiwi?

Ni kweli ukishaibiwa hayo masega gari inaharibika?Kwa nini?

Na kwanini ni Brevis Tu zinaibiwa hayo masega???
mafundi wa kibongo wakati mwingine wanabahatisha hawafahamu vizuri magari, tulikuwa na safari ya mbea na gari mitsubishi pajero short chasis, kufika iringa gari ikakosa nguvu kabisa ikabidi tuingie gereji na ilibidi tulale, sasa wale mafundi wakasema masega ndio yanasababisha maana yameziba.

walifungua exhaust pipe wakayasaga saga yote yakawa unga na kuyatoa lkn gari ikawa bado haina nguvu. kumbe tatizo lilikuwa kuna sensor haifanyi kazi na ni upande wa engine tatizo ambalo alikuja kugundua fundi mwingine na box ya kufanyia diagnostic.
 
Pole mkuu... masega mpaka yazibe gari likose nguvu si Kazi ya kitoto..

Kwa fundi mzoefu kuna njia ya kienyeji ya kuangalia kama masega yameziba...unapiga resi angalau 4-5 rpm wakati huo fundi atatumia aidha kiganja au atakavyojua yeye kuangalia pressure ya moshi inayotoka kwenye exhaust..
 
Wamekuwekea Revolution per Minute Gauge ili uweze kufahamu kama rotation ni kubwa kiasi gani na uepuka madhara ya kupasua engine au ni muda gani ubadili gear. Pia uweze kubalance matumizi ya mafuta.

Mfano kwa gari ndogo kuanzia 7,000 na 8,000 ina alama nyekundu ikiwa ni ishara kwamba mzuguko ukiwa mkubwa kiasi hicho parts za gari zinapata moto na kadri mzunguko unavyozidi ndo moto unazidi.

Ukizungusha engine na rpm ikafika mwisho kuna uwezekano mkubwa ukapasua engine.

Naona hukunielewa na labda pia wewe mwenyewe binafsi hujui kazi ya RPM Gauge.

Sent from my Redmi S2 using JamiiForums mobile app
pamoja sana...noted
 
Nimefika na tumekagua catalytic converter na muffler. Hakuna kilichoharibiwa wala kuonekana kilikatwa au kuchomelewa, bali ni muffler ndio imechoka, na imeanza kupiga kelele.
Hata gari yangu fundi anadai muffler imechoka..Inalia kama altezaa ile Buuuuh
 
Back
Top Bottom