KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hii nayo ni sehemu ya "maombi maalum" mtakayomfikishia Mungu, awachukue wanaovuka mipaka yenu?Uhuru wa kusema usivuke mipaka, ndugu yangu soma alama za nyakati, usije tuacha bado tunakupenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nayo ni sehemu ya "maombi maalum" mtakayomfikishia Mungu, awachukue wanaovuka mipaka yenu?Uhuru wa kusema usivuke mipaka, ndugu yangu soma alama za nyakati, usije tuacha bado tunakupenda.
Kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi.ko wewe hujui.unajua ngalau mwaka ilitolewa tahadhali je mwaka huu vip na watu wanapukutika hujui
Mkuu kifo kipo tu punguza chuki na HOFURais kashindwa kutumia nafasi iliyotokana na misiba hii kuonyesha uongozi na kuwafariji na kuwapa matumaini wananchi wake.
Badala yake, anazidi kushupaza shingo, kwa sababu tu hataki aonekane alifanya makosa katika maamuzi yake ya huko nyuma.
Inasikitisha sana.
Wewe ni Pimbi![emoji116]Uhuru wa kusema usivuke mipaka, ndugu yangu soma alama za nyakati, usije tuacha bado tunakupenda.
Kwa hiyo hata maombi kwa Mungu ni kazi bure basi! Maana "Kifo kipo tu"!Mkuu kifo kipo tu punguza chuki na HOFU
Hatua ipi ya kuchukua? Imefanya kazi wapi?Hivi huwa mnaandika akili kaishika nani?
Mbona mnyika kasamalaizi kila kitu kuhusu hatua ya kuchukua au wewe huwa unasomaje kuanzia kati na kwenda zigzag!
poleni wananchiRais kashindwa kutumia nafasi iliyotokana na misiba hii kuonyesha uongozi na kuwafariji na kuwapa matumaini wananchi wake.
Badala yake, anazidi kushupaza shingo, kwa sababu tu hataki aonekane alifanya makosa katika maamuzi yake ya huko nyuma.
Inasikitisha sana.
China hawajafa watu?Hivi China kukoje sasa hivi? Hebu tueleze wewe unayejua.
Usiseme wananchi. Sema chademapoleni wananchi
umeelewa swali ?China hawajafa watu?
Wananchi wote ni chadema , waliobaki ni wachumia tumbo tuUsiseme wananchi. Sema chadema
Acha ujinga! Goti tunalipigwa na tutaendelea kulipiga kwa jina moja tu lipitalo majina yote ikiwa ni pamoja na corona yako! Jina hili pekee ni Yesu Kristo, hakuna jina jingine...
Hakuna mtu anayesema Rais afanya lockdown, watu wanataka Rais aseme pamoja na sala, lakini tupunguze mikusanyiko, tuvae barakoa na tahadhari.......lakini kwa sasa ukimsikiliza Mh. Rais inakuja akilini kwamba hakuna COVID na sio inayoua watu.......tunataka nani augue au afe ili tukiri kwamba Tanzania kama zilivyo Nchi zingine tumeathirika na COVID?
una akili timamu ?Nini maana neno chukua tahadali ? Na wizara ya afya kila siku wanatangaza
Mara kaleta Chanjo yenye Sumu!! Babake watu kibao kila kona Watu kibao.Ameshamtuma Kabudi afuate Chanjo.
Watakuja kujichanja wenyewe. Jiwe ni 🐍🐍🐍
Ilikuwaje sasa mgombea wako akapata chini ya 20%?Wananchi wote ni chadema , waliobaki ni wachumia tumbo tu
Lissu aliyepata kura mil 7 unusu na yule mwingine aliyepata kura mil 6 na kutangazwa na mahera nani zaidi ?Ilikuwaje sasa mgombea wako akapata chini ya 20%?