Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Uhuru wa kusema usivuke mipaka, ndugu yangu soma alama za nyakati, usije tuacha bado tunakupenda.
Hii nayo ni sehemu ya "maombi maalum" mtakayomfikishia Mungu, awachukue wanaovuka mipaka yenu?
 
ko wewe hujui.unajua ngalau mwaka ilitolewa tahadhali je mwaka huu vip na watu wanapukutika hujui
Kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi.
NB:serikari Aina uwezo wa kusema Nani afe Nani asife
 
Rais kashindwa kutumia nafasi iliyotokana na misiba hii kuonyesha uongozi na kuwafariji na kuwapa matumaini wananchi wake.

Badala yake, anazidi kushupaza shingo, kwa sababu tu hataki aonekane alifanya makosa katika maamuzi yake ya huko nyuma.

Inasikitisha sana.
Mkuu kifo kipo tu punguza chuki na HOFU
 
Uhuru wa kusema usivuke mipaka, ndugu yangu soma alama za nyakati, usije tuacha bado tunakupenda.
Wewe ni Pimbi![emoji116]
605758310.jpg
 
Hivi huwa mnaandika akili kaishika nani?

Mbona mnyika kasamalaizi kila kitu kuhusu hatua ya kuchukua au wewe huwa unasomaje kuanzia kati na kwenda zigzag!
Hatua ipi ya kuchukua? Imefanya kazi wapi?
 
Rais kashindwa kutumia nafasi iliyotokana na misiba hii kuonyesha uongozi na kuwafariji na kuwapa matumaini wananchi wake.

Badala yake, anazidi kushupaza shingo, kwa sababu tu hataki aonekane alifanya makosa katika maamuzi yake ya huko nyuma.

Inasikitisha sana.
poleni wananchi
 
Acha ujinga! Goti tunalipigwa na tutaendelea kulipiga kwa jina moja tu lipitalo majina yote ikiwa ni pamoja na corona yako! Jina hili pekee ni Yesu Kristo, hakuna jina jingine...

Amen
 
Hakuna mtu anayesema Rais afanya lockdown, watu wanataka Rais aseme pamoja na sala, lakini tupunguze mikusanyiko, tuvae barakoa na tahadhari.......lakini kwa sasa ukimsikiliza Mh. Rais inakuja akilini kwamba hakuna COVID na sio inayoua watu.......tunataka nani augue au afe ili tukiri kwamba Tanzania kama zilivyo Nchi zingine tumeathirika na COVID?

Nini maana neno chukua tahadali ? Na wizara ya afya kila siku wanatangaza
 
Wapinzani Tanzania wapuuzi sana hawajui hata wao wanataka nini
Wamekosa mwelekeo
Wakosa maarifa
Wapo kama wapo tu hawana tija kwa taifa

Na ndo mana wengi wao hawasemi magu afanye nini ili kuepuka vifo na magonjwa yenywwe Ila wanabweka tu kama mbwa koko.

Sema rais au jpm do this and this to overcome the situation acha ccm itawale milele mpaka siku wakija wapinzani wenye akili
 
Back
Top Bottom