Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
siyo amfanyie nini, rais anatakiwa awe realistic kutoa facts kwa wananchi jinsi ya kujikinga na immediate enemy. Tummezika jana na leo tunazika na hatujui who next. Elewa kuna watu watakufa kutokana na maneno ya viongozi kwa sababu watayaamini na kuacha kujikinga. Mimi na wewe tunachanganya na za kwetu kwa sababu tuna uelewa mpana.
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Kwanini hasemi wazi kuwa Tanzania kuna corona wananchi tuchukue tahadhari. Kwanini hilo neno kwake ni gumu kutamka?
Kama anasema (ingawa hatujasikia labda utuambie wewe)kwanini haonyeshi mfano yeye na watu wake wa karibu.

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Mpuuzi,mzandiki,mpumbavu,mshenzi.Ngoja wa karibu yako wapukutike ndio uje humu kuandika huu upumbavu.Majitu mengine Ni kujitoa fahamu tu. Yaani huelewi hata ule wajibu wa kiuongozi alio nao rais kwa wananchi wake.

Serikali gani inayoweza kuona watu wake wanakufa na haichukui hatua zozote. Kuna watu wamekufa hadi 4 ktk familia moja.
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Swali lakitoto sana hili?
Hivi huoni kwamba hata kuwaaminisha watu kwamba tanzania hatuna corona ila kunamatatizo yakupumua kunasababisha watu kuondoa umakini na kuongeza kasi ya maambukiz?

Huoni kwamba miili ya waliokufa na corona mazishi yake ilihitaji usimamizi wa watu wa afya ili kuondoa ama kupunguza uwezekano wa maambukizi kwa wafiwa?

Hivi huoni kwamba viongozi akiwemo na raisi mwenyewe hawaoneshi umakini,mfano leo kwenye kumuaga balozi kijazi wengi wao including raisi hawakuvaa barakoa?

Kimsingi serikali inachowaza kwa sasa ni kukusanya kodi hakuna lazaidi.
 
Mimi tahadhari naijua chief, tena ninazingati lakini mtaani wapo watu wanasubiri Mh. Rais aseme CORONA ipo na inaua, tuvae barakoa na kuepeuka misongamano kama mwaka jana, akitamka hilo ataokoa watu wengi sana.
Nakubaliana na wewe Rais lazima atoe tamko. Yeye ndo alisema corona haipo imekwenda zake na yeye ndo alikuwa akikebehi wanaovaa barakoa. Mnakumbuka kila wakati akiwa kwenye tukio la kitaifa alikuwa anasema tumeishinda corona, si unaona hapa hatujavaa barakoa?
 
Rais anaposema "tulimuomba Mungu na corona ikiondoka, na sijui tumemkosea wapi Mungu hadi ikarudi tena" Kwa maneno hayo bado mtanzania unasubiri ukumbushwe hatua za kujikinga wakati unazijua???
kutokutumia akili tulizopewa na Mungu ni kumkosea Mungu.
Mambo ya kisayansi yanabaki kuwa kweli hata akikataa au kutoamini.
korona ipo Tanzania na inaenea kwa kasi.
 
Mtu mzima Mungu kakupa na zawadi ya utimamu na nguvu za kuandika umepewa, unataka magufuli atangaze? Kama umeshaelewa mziki kwa nini usiucheze kwa nafasi yako? Wewe umeshajua Covid ipo na ni hatari kwa nini usianze wewe kuhimiza watu kuchukua tahadhari? Kwani lazima Raisi aseme[emoji848]

Fanya kupita mitaani kuhimiza watu kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19 uone kama utakuwa salama mbele ya vyombo vya dola. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa propaganda na janja janja.

Mtaani kila nikihoji wasiovaa barakoa wanadai serikali inasema hakuna corona bali hofu tu ndiyo inaenezwa na maadui. What a bs!
 
Utanyakuliwa kama kifaranga
 
hivi watanzania hatuwezi kujikinga hadi rais aseme au? let say tunataka lockdown je tutaweza kukabiliana na ugumu wa maisha utakaotokana na hiyo lockdown? Je, ni kweli hatuwezi kujikinga na kuchukua tahadhari bila kutegemea kauli ya rais? Huenda kweli rais alikosea kwenye approach yake kwenye second wave ya covid sasa kama yeye hataki kuonekana kua alikosea ndio iwe sababu ya sisi tuzubae tuendelee kufa kisa yeye hataki kutengua kauli yake??? Hebu tuache kua wajinga kila mtu awajibike kwa afya yake mwenyewe.
Mkuu hawa watu wengi wapo kisiasa tu watakuumiza kichwa

Sent from my F3111 using JamiiForums mobile app
 
EGO IS THE ENEMY.

Ukisikiliza hotuba ya Jiwe utabaini ego inamtafuna. Anashindwa kutaja wazi kuwa kuna janga la Corona, badala yake anasema mara oohh tujilinde, mara tumtegemee Mungu,,, mara tusiogope,, yani full of contradictions.
 
Back
Top Bottom