Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Umeandika kwa kiwango duni sana !Wapinzani Tanzania wapuuzi sana hawajui hata wao wanataka nini
Wamekosa mwelekeo
Wakosa maarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kwa kiwango duni sana !Wapinzani Tanzania wapuuzi sana hawajui hata wao wanataka nini
Wamekosa mwelekeo
Wakosa maarifa...
Hamna chuki. Wewe unaamini Gwajima ni mtumishi wa Mungu wa kweli tunayemwabudu?Mkuu punguza chuki na HOFU
siyo amfanyie nini, rais anatakiwa awe realistic kutoa facts kwa wananchi jinsi ya kujikinga na immediate enemy. Tummezika jana na leo tunazika na hatujui who next. Elewa kuna watu watakufa kutokana na maneno ya viongozi kwa sababu watayaamini na kuacha kujikinga. Mimi na wewe tunachanganya na za kwetu kwa sababu tuna uelewa mpana.Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Jamaa ni mabingwa wa kujitoa ufahamu, haijalishi wanajidhalilisha kiasi gani.una akili timamu ?
Kwanini hasemi wazi kuwa Tanzania kuna corona wananchi tuchukue tahadhari. Kwanini hilo neno kwake ni gumu kutamka?Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Bila shaka yoyote wamekufa. Unazo takwimu za wanaohusishwa kufa kutokana na corona, hilo ndilo swali la msingi kama kweli wewe unao umakini katika unayoandika hapa!China hawajafa watu?
Mpuuzi,mzandiki,mpumbavu,mshenzi.Ngoja wa karibu yako wapukutike ndio uje humu kuandika huu upumbavu.Majitu mengine Ni kujitoa fahamu tu. Yaani huelewi hata ule wajibu wa kiuongozi alio nao rais kwa wananchi wake.Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Swali lakitoto sana hili?Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Sasa unataka nani amwulize, si umwulize mwenyewe?Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Nakubaliana na wewe Rais lazima atoe tamko. Yeye ndo alisema corona haipo imekwenda zake na yeye ndo alikuwa akikebehi wanaovaa barakoa. Mnakumbuka kila wakati akiwa kwenye tukio la kitaifa alikuwa anasema tumeishinda corona, si unaona hapa hatujavaa barakoa?Mimi tahadhari naijua chief, tena ninazingati lakini mtaani wapo watu wanasubiri Mh. Rais aseme CORONA ipo na inaua, tuvae barakoa na kuepeuka misongamano kama mwaka jana, akitamka hilo ataokoa watu wengi sana.
Hujitambui nduguKwa hyo unataka lockdown?
Kama kujikinga magu amekukataza?
SI ujikinge
kutokutumia akili tulizopewa na Mungu ni kumkosea Mungu.Rais anaposema "tulimuomba Mungu na corona ikiondoka, na sijui tumemkosea wapi Mungu hadi ikarudi tena" Kwa maneno hayo bado mtanzania unasubiri ukumbushwe hatua za kujikinga wakati unazijua???
Mtu mzima Mungu kakupa na zawadi ya utimamu na nguvu za kuandika umepewa, unataka magufuli atangaze? Kama umeshaelewa mziki kwa nini usiucheze kwa nafasi yako? Wewe umeshajua Covid ipo na ni hatari kwa nini usianze wewe kuhimiza watu kuchukua tahadhari? Kwani lazima Raisi aseme[emoji848]
Mh, hili nalo la kutafakari!Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Utanyakuliwa kama kifarangaFanya kupita mitaani kuhimiza watu kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19 uone kama utakuwa salama mbele ya vyombo vya dola. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa propaganda na janja janja.
Mtaani kila nikihoji wasiovaa barakoa wanadai serikali inasema hakuna corona bali hofu tu ndiyo inaenezwa na maadui. What a bs!
dini zote zinasema Imani inaponya manataka aseme tuwe kalantini au??Bado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
elimu ni pana japo kwa nchi zetu hizi ukisema elimu tunamaanisha ni sekondari na chuo lakini bado wengi hatujui elimu kuwa ina mapana yake makubwa tuElimu fupi mkuu
Mkuu hawa watu wengi wapo kisiasa tu watakuumiza kichwahivi watanzania hatuwezi kujikinga hadi rais aseme au? let say tunataka lockdown je tutaweza kukabiliana na ugumu wa maisha utakaotokana na hiyo lockdown? Je, ni kweli hatuwezi kujikinga na kuchukua tahadhari bila kutegemea kauli ya rais? Huenda kweli rais alikosea kwenye approach yake kwenye second wave ya covid sasa kama yeye hataki kuonekana kua alikosea ndio iwe sababu ya sisi tuzubae tuendelee kufa kisa yeye hataki kutengua kauli yake??? Hebu tuache kua wajinga kila mtu awajibike kwa afya yake mwenyewe.