mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Lissu anazidi kupotea,aache kubeza ya Magufuli atembee kwenye sera zake,yeye atafanya nini?
[/QUOTE)
Yeye na CHADEMA hawana SERA. Tuache ushabiki wa kisiasa jamani; tuseme kweli tu hata hao wagombea wao wa Ubunge na Udiwani pia ni hivyo hivyo tu. Wanaendekeza personality attacks tu na hayo ndiyo washabiki wao wanapenda, SIJUI NANI KAWAROGA? Anyway tuwape muda labda ni mapema mno kuwahukumu, labda wanangoja waziseme JIONI!