Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Nani alisema chadema imezikwa, tutaanzia kumchapia hukuhuku kwao mwanza

View attachment 1555566
Haha unaota subirini mwenye Mwanza yake afike mtajificha uvunguni siku hiyo.ccm ni mwanza na mwanza ni ccm, shinyanga, Geita simiyu na Kagera kote chadema andikeni maumivu ya kifua kikuu.Huko ndiyo kuna kura 12 million za Magu labda muokoze za ziada.
 
Wazungu walijenga kwa maslahi yao, sisi tunajijengea kwa maslahi yetu kama taifa.

Alafu mwambie, uhuru upi anaongelea ilihali tumetumia uhuru wetu kupambana na corona na tukafanikiwa?

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Tundu Antipas Lissu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili Mwanza kwa kishindo kikubwa.

Akiambatana na Mgombea Mwenza pamoja na Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe mgombea huyo amelakiwa na umati mkubwa wa watu ambapo maandamano yameanzia katika Uwanja wa ndege kuelekea Uwanja wa Furahisha.

Msururu mkubwa wa Bodaboda,magari na watu kujipanga kandokando ya Barabara ndivyo vilivyopamba mapokezi yake.
View attachment 1555426
View attachment 1555429View attachment 1555430View attachment 1555431View attachment 1555432
Molemo uwe unajitahidi kuweka picha zote muhimu za kwenye mkutano.

Umaelewa kuwa watanzania wanahitaji kuona hayo matukio kupitia kwenu maana tv station zinaogopa kutoa matukio ya mh Lissu.

Jitahidini sana nyinyi ndiyo mmebakia tegemeo la wapenda mageuzi ili kupata hizo habari za kampeini.
 
Lissu anazidi kupotea,aache kubeza ya Magufuli atembee kwenye sera zake,yeye atafanya nini?
 
Haha unaota subirini mwenye Mwanza yake afike mtajificha uvunguni siku hiyo.ccm ni mwanza na mwanza ni ccm, shinyanga, Geita simiyu na Kagera kote chadema andikeni maumivu ya kifua kikuu
Simiyu ipi na shinyanga na kagera ipi unazisema???? Au uko nje ya Tanzania???

Sasa hiyo ni Mwanza tu, Lissu akienda Simiyu, Shinyanga na Kagera lazima uingie uvunguni mataga wewe!!
 
We wanted to be FREE, kuwa HURU! Hatukuwa na shida ya vitu, tulikuwa na shida ya UHURU! Tuwe huru kwenye umasikini wetu! leo hatuko HURU, hatuna vitu, Jiwe katupiga kote kote!
Kwahiyo sasa pia mnataka uhuru wa nini?
 
Mzee kaanzia majiji mazito bila shaka ina fata Mbeya

Strategically, baada ya Mwanza angekwenda Bukoba kabla ya Mbeya!!! Wahaya wana usongo sana na Jiwe toka ataifishe fedha zao walizochangiwa baada ya tetemeko; kule kwa WAITU jiwe hawezi kupata kura!!!
 
Strategically, baada ya Mwanza angekwenda Bukoba kabla ya Mbeya!!! Wahaya wana usongo sana na Jiwe toka ataifishe fedha zao walizochangiwa baada ya tetemeko; kule kwa WAITU jiwe hawezi kupata kura!!!
Wale majamaa ni balaa kabisa wana misimamo isiyo yumba hivyo Jiwe ajiandae kisaikolojia
 
Lissu akishinda uchaguzi, tunaomba uwaondoe wamachinga wa makoroboi, mama wanaofanya biashara ya pamba road na Nyerere road. Fukuza wote waende sehemu zilizopangwa.
Magufuli aliwaacha sasa wanatupa shida kupita na magari. Tunakuomba lissu uwafukuze.
 
Back
Top Bottom