Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

lissu.JPG
 
Nisiwachoshe wana JF
Kamanda Lissu leo yuko mwanza baada ya show ya kibabe huko Arusha jana.

Watoto wa mjini wanasema kitimutimu kimeingia leo kwenye nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje?

Leo mwanaume katimba ndani ya mwanza, kwenye ngome ya wale jamaa, wananchi wamempa mapokezi makubwa ajabu.

Kama mwanza imekubali namna hii, Jiwe anangoja nini kufungasha virago vyake maana muda aliopanga kwenye nyumba yetu umeisha na tumepata mpangaji mpya anayelia kwa wakati naye ni mbeba maono Tundu Antipas Lissu




LIVE LIVE LIVE kumuangalia hapa:

 
Mapokezi ya Lissu hayaja fikia hata robo ya mapokezi ya Lowasa lakini bado Lowasa alitoka kapa.mpaka sasa Lissu hajafikia kiwango cha kudekiwa barabara,bado tena bado saana.
 
Back
Top Bottom