Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapokezi ya Lissu hayaja fikia hata robo ya mapokezi ya Lowasa lakini bado Lowasa alitoka kapa.mpaka sasa Lissu hajafikia kiwango cha kudekiwa barabara,bado tena bado saana.
Acha ganja kijanaMapokezi ya Lissu mwanza ni hatari toka nchi hii ipate Uhuru yaani Ni balaa.
Nimeshuhudia msafara wa magari zaidi ya 200 na pikipiki zaidi ya 5000
View attachment 1555437
View attachment 1555446View attachment 1555447View attachment 1555448View attachment 1555449
Acha uongo nimeangalia liveMapokezi ya Lissu mwanza ni hatari toka nchi hii ipate Uhuru yaani Ni balaa.
Nimeshuhudia msafara wa magari zaidi ya 200 na pikipiki zaidi ya 5000
View attachment 1555437
View attachment 1555446View attachment 1555447View attachment 1555448View attachment 1555449
Nilidhani ni kwangu peke yangu. Naona tcra kama kawa wameshafanya yaoMbona picha hazifunguki?
Kwa kweli, maana si kwa nyomi hiyo. Huyu mgombea wa kijani bila wasanii na malori hakuna watuBila shaka atakuwa ameambatana na wasanii wa kimataifa kama Justine Bieber, Rihanna, Beyonce, Lil Wayne, J zee, Chris Brown, Arnold, Rambo, Jet Lee, Jack chain, na wengine kibao bila kusahau Mr bean.
Hapo hamna cha kwasakwasa wala chipolopolo watu na mahaba yao ya kumoyo kusikiliza sera sio kwenda kuwashangaa wasanii na mbadooAcha kukariri bwashee!
🤣 🤣🤣🤣🤣🤣 Nimeshasema huyu mtu akifikisha kura 1.5M nipigwe ban.Tundu Antipas Lissu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili Mwanza kwa kishindo kikubwa.
Akiambatana na Mgombea Mwenza pamoja na Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe mgombea huyo amelakiwa na umati mkubwa wa watu ambapo maandamano yameanzia katika Uwanja wa ndege kuelekea Uwanja wa Furahisha.
Msururu mkubwa wa Bodaboda,magari na watu kujipanga kandokando ya Barabara ndivyo vilivyopamba mapokezi yake.
Usiiishi maisha ya kukariri mwaka huu ipo Neeema inakujaMapokezi ya Lissu hayaja fikia hata robo ya mapokezi ya Lowasa lakini bado Lowasa alitoka kapa.mpaka sasa Lissu hajafikia kiwango cha kudekiwa barabara,bado tena bado saana.
Na hilo ndilo kosa. Hayo majiji angemalizia siku za kuelekea uchaguziMzee kaanzia majiji mazito bila shaka ina fata Mbeya
Kwa hiyo wasicheze ligi kuu kisa Lissu? Nyie mbona mna mawazo ya kijinga ya kuhisi kuhujumiwa na Kila mnayemuona Yuko bize na Mambo yake?Nasikia Simba wanajiandaa na ziara ya Mbeya
Kama picha tu ukipost humu jamii forums zinazuiwa zisionekane, unategemea kuna chombo cha habari kitaruhusiwa kurusha habari za chadema? Mnatamba kuwa mmefanya mambo ambayo hayajawahi fanywa toka uhuru lakini ni waoga kuliko hata kunguru. SHAME ON YOUCHDM ruzuku mmepeleka wapi? Mbona hata matangazo hakuna? Maana huku watu Wala Hawana taarifa,au mpaka tuingie jf? Na you tube? au ndo mikakati ya mbowe kumhujumu Lisu ishaanza? Safari hii mbowe atauza hadi mgombea heheheeee.
Bila shaka atakuwa ameambatana na wasanii wa kimataifa kama Justine Bieber, Rihanna, Beyonce, Lil Wayne, J zee, Chris Brown, Arnold, Rambo, Jet Lee, Jack chain, na wengine kibao bila kusahau Mr bean.
Ruzuku yote mumeila wenyewe kwa hiyo baada ya kushiba mnataka vyombo vya habari viwarushe Bure!!! Wao hawana wafanyakazi wa kuwalipa ,hawalipi bili za umeme,Wala leseni Wala TRA?Kama picha tu ukipost humu jamii forums zinazuiwa zisionekane, unategemea kuna chombo cha habari kitaruhusiwa kurusha habari za chadema? Mnatamba kuwa mmefanya mambo ambayo hayajawahi fanywa toka uhuru lakini ni waoga kuliko hata kunguru. SHAME ON YOU
🤣 🤣🤣🤣🤣🤣 Nimeshasema huyu mtu akifikisha kura 1.5M nipigwe ban.
MAGUFULI4LIFE.
HATUWATAKI NDIO MAANA TULIWAFURUSHA, WAKAKIMBILIA KURIPOTI POLICCMRuzuku yote mumeila wenyewe kwa hiyo baada ya kushiba mnataka vyombo vya habari viwarushe Bure!!! Wao hawana wafanyakazi wa kuwalipa ,hawalipi bili za umeme,Wala leseni Wala TRA?
Mlijua uchaguzi unakuja mlitegemea kuwa vyombo vya habari ni charity organization ya mama huruma mama Teresa?